Results for taswira copyrightearthsat translation from Swahili to English

Swahili

Translate

taswira copyrightearthsat

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

taswira

English

pictures

Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 6
Quality:

Swahili

hifadhi taswira

English

save image

Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:

Swahili

ninakutumia taswira sasa

English

now i send you an image

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

je unaona taswira hiyo?

English

do you see the image?

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nitakutumia taswira kwenye skrini yako

English

i will send you an image on your screen

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

taswira za moja kwa moja za setilaiti zinapatikana hapa.

English

direct satellite imagery is available here.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kuonyesha taswira zenye mizani iliyolingana ni jambo muhimu.

English

presenting a balance depiction of africa is crucial.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"kuwa taswira ya mapambano, na makalio ya kila masihara"

English

@cchabikwa @fingerray @sirnige @263chat @cynicharare @rangamberi @conormwalsh @tvyangu "being the face of the struggle & butt of every joke" — delta milayo (@deltandou) april 30, 2014

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

makala nyingine zinajadili taswira na tabia anayoionyesha julius malema.

English

other posts discuss the image and character which julius malema portrays.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata hivyo, ikiwa taswira hizo zimeshaanza kutumika, mpka hivi sasa bado hazijawekwa hadharani.

English

but if those images are in use, they haven’t been made public yet.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ukumbi uliojaa wa tamasha la blogu la indonesia taswira kutoka kwenye tamasha la blogu.

English

packed venue for indonesia blogger festival scenes from the bloggers festival.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

molly meek anaamini kuwa mazungumzo yote ya kitaifa ni hila tu za kubadilisha taswira ya chama tawala:

English

molly meek believes that the whole national conversation is simply a ploy to change the ruling party's image:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hakika, picha zinazokuja kutoka ukraini zinachora taswira ya kitu kinachofanana na vita vya wenyewe kwa wenyewe.

English

indeed, the images coming out of ukraine depict something like a civil war.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ghafla tu, kuna mwongezeko mkubwa wa maudhui yanayotoa taswira hasi ya mtandao wa facebook na mitandao mingine ya kijamii.

English

all of a sudden, there is a huge increase in number of mass media content highlighting the bad side of facebook and social media.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

angalia mapitio ya kimaeneo kwa mwaka 2011 yaliyofanywa na wahariri na waandishi ili kupata taswira ya haraka ya kile ambacho huenda ulikikosa.

English

see the 2011 regional reviews by our editors and authors for a glance of what you may have missed.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

irani inaweza, hata hivyo, kuboresha taswira yake katika kuchukua hatua za kushughulikia mgogoro wa wakimbizi wa nchi jirani ya syria.

English

iran can, however, still improve its image in bolstering its role in alleviating the neighbouring syrian refugee crisis.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika makala yake kwenye blogu inayoitwa the daily beast wala haachi neno pasipo kulisema na hivyo kutengeneza taswira halisi ya vitendo vya unyanyasaji watoto:

English

in a blog post in the daily beast she doesn’t leave much to be said by painting a grim picture of child abuse:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

aaron leaf anajadili jinsi taswira ya rais wa liberia, ellen johnson sirleaf, hujengwa na vyombo vya habari kimagharibi kama alama ya mambo yote mazuri.

English

aaron leaf discusses how the liberian president, ellen johnson sirleaf, is often presented by western media as an avatar of all things good.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kutokana na kulandana na maambukizi mengine kama vile adenovirus, kutoa taswira bila kuthibitisha kwa njia ya pcr ina upungufu wa masuala mahususi katika kutambua covid-19.

English

due to overlap with other infections such as adenovirus, imaging without confirmation by pcr is of limited specificity in identifying covid-19.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sehemu angavu ya mjadala wa taswira ya naijeria ilikuwa ni video iliyosambazwa sana ya mwandishi wa kinaijeria chimamanda ngozi adichie akiongelea juu ya “hatari ya simulizi moja.”

English

a bright spot in the discussion of nigeria's image was a widely circulated video of nigerian author chimamanda ngozi adichie speaking on “the danger of a single story.”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,934,728,607 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK