From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
natamani kwenda juu
i wish to
Last Update: 2022-11-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
uharibifu mkubwa umeripotiwa nchin nzima, na idadi ya waliofariki inazidi kwenda juu.
extensive damage has been reported throughout the country, and the number of casualties continues to go up.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kilicho cha tofauti kuhusu maandamano haya ni ukweli kwamba hayakuratibiwa na vyama vya wanafunzi lakini yameandaliwa kwa kuanzia chini kwenda juu, kwa msaada wa vyombo vya habari vya kijamii mtandaoni.
what is so special about these protests is the fact that they have not been centrally coordinated by student unions but have been organized entirely bottom-up, with the help of online social media.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
naliona hili ni jambo lililo kinyume, kwamba teknolojia sasa imekuwa ni chombo kinachoanzisha kampeni ambayo katika wakati mwingine, ingekuwa ni kampeni ya umma kwenye ngazi za chini kwenda kupima damu na kuelimishwa zaidi.
i find it paradoxical that technology has now become the default vehicle to initiate what would have been at one time, a grass roots blood testing and education campaign.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa kweli, ufumbuzi unaelezwa katika ilani, ndiyo yale ambayo pap imekuwa ikiyafanya kwa miongo mingi iliyopita, kwa mfano, kuwapa mafunzo wafanyakazi wa kipato cha chini kutoka kazi moja ya kipato cha chini kwenda nyingine n.k.
in fact, where solutions are cited in the manifesto, they are what the pap has been doing in the past decades e.g. retraining of low income workers from one low income job to another etc.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
watu wengi nchini kote wameganda kwenye luninga zao wakati vipande vya habari vinavyoonesha tsunami lenye urefu wa zaidi ya mita 7 kwenda juu likisomba magari na majengo.
people across the country are glued to their tv screens as scenes of a tsunami measuring more than 7 meters in height sweeping away cars and buildings flashes across the news.
Last Update: 2024-01-29
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kuna uvumi kuhusu majengo gani yaliyoanguka… jingo la castel haiti nyuma ya oloffson ni biwi la kifusi… lilikuwa jingo la ghorofa 8 kwenda juu
lot's of rumors about which buildings were toppled..the castel haiti behind the oloffson is a pile of rubble..it was 8 stories high
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mji wenyewe ulikuwa wa mraba, upana na urefu wake sawa. basi, malaika akaupima mji huo kwa kijiti chake: ulikuwa na urefu, upana na urefu wa kwenda juu, kama kilomita elfu mbili na mia nne.
and the city lieth foursquare, and the length is as large as the breadth: and he measured the city with the reed, twelve thousand furlongs. the length and the breadth and the height of it are equal.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: