Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
tulimletea wahyi musa tukamwambia: piga bahari kwa fimbo yako.
moses said, "certainly not.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
na tulimpa luqman hikima, tukamwambia: mshukuru mwenyezi mungu.
and certainly we gave wisdom to luqman, saying: be grateful to allah.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
(tukamwambia:) tengeneza nguo za chuma pana, na kadiria sawa katika kuunganisha.
"make full-length coats of mail, measuring the links well.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
(tukamwambia): basi yashike kwa nguvu na uwaamrishe watu wako wayashike kwa ubora wake.
so take it forcefully, and order your nation to take what is best of it.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
na tulimtuma musa pamoja na miujiza yetu, tukamwambia: watoe watu wako kwenye giza uwapeleke kwenye mwangaza.
we sent moses and gave him miracles in order to lead his people from darkness into light and to remind them of the days of god.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
(tukamwambia:) tengeneza nguo za chuma pana, na kadiria sawa katika kuunganisha. na tendeni mema.
"make long coats of mail," (we said), "and fix their links, and do the right.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
(tukamwambia): basi yashike kwa nguvu na uwaamrishe watu wako wayashike kwa ubora wake. nami nitakuonyesheni makaazi ya wapotofu.
so hold thou fast with firmness, and bid thy people follow the best thereof anonl will shew you the dwelling of the ungodly people.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
na tulimpa luqman hikima, tukamwambia: mshukuru mwenyezi mungu. na mwenye kushukuru basi hakika anashukuru kwa manufaa ya nafsi yake.
and assuredly we vouchsafed unto luqman wisdom, saying: give thanks unto allah; and whosoever giveth thanks giveth thanks for his soul; and whosoever is unthankful--then verily allah is self-sufficient, praiseworthy
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
na tulimtuma musa pamoja na miujiza yetu, tukamwambia: watoe watu wako kwenye giza uwapeleke kwenye mwangaza. na uwakumbushe siku za mwenyezi mungu.
and assuredly we sent musa with our signs saying: bring thy people forth from the darknesses unto the light, and remind them of the annals of allah.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
na tukamuandikia katika mbao kila kitu, mawaidha na maelezo ya mambo yote. (tukamwambia): basi yashike kwa nguvu na uwaamrishe watu wako wayashike kwa ubora wake.
and we ordained for him in the tablets admonition of every kind and clear explanation of all things; so take hold of them with firmness and enjoin your people to take hold of what is best thereof; i will show you the abode of the transgressors.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
na pale tulipomweka ibrahim pahala penye ile nyumba tukamwambia: usinishirikishe na chochote; na isafishe nyumba yangu kwa ajili ya wanao izunguka kwa kut'ufu, na wanao kaa hapo kwa ibada, na wanao rukuu, na wanao sujudu.
and (remember) when we prepared for abraham the place of the (holy) house, saying: ascribe thou no thing as partner unto me, and purify my house for those who make the round (thereof) and those who stand and those who bow and make prostration.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: