From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
tukisema kwamba hatuna dhambi, tunajidanganya wenyewe na ukweli haumo ndani yetu.
if we say that we have no sin, we deceive ourselves, and the truth is not in us.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
wakaanza kujadiliana, "tukisema, yalitoka mbinguni, atatuuliza, basi, mbona hamkumsadiki?
and they reasoned with themselves, saying, if we shall say, from heaven; he will say, why then did ye not believe him?
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
tukisema kwamba tuna umoja naye, na papo hapo twaishi gizani, tutakuwa tumesema uongo kwa maneno na matendo.
if we say that we have fellowship with him, and walk in darkness, we lie, and do not the truth:
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
na tukisema, yalitoka kwa watu, tunaogopa umati wa watu maana wote wanakubali kwamba yohane ni nabii."
but if we shall say, of men; we fear the people; for all hold john as a prophet.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
na tukisema yalitoka kwa binadamu, watu wote hapa watatupiga mawe, maana wote wanaamini kwamba yohane alikuwa nabii."
but and if we say, of men; all the people will stone us: for they be persuaded that john was a prophet.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
na tukisema, yalitoka kwa watu..." (waliogopa umati wa watu maana wote waliamini kwamba yohane alikuwa kweli nabii.)
but if we shall say, of men; they feared the people: for all men counted john, that he was a prophet indeed.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
je, mamlaka ya yohane ya kubatiza yalitoka kwa nani? je, yalitoka mbinguni ama kwa watu?" lakini wakajadiliana wao kwa wao hivi: "tukisema, yalitoka mbinguni, atatuuliza, basi, mbona hamkumsadiki?
the baptism of john, whence was it? from heaven, or of men? and they reasoned with themselves, saying, if we shall say, from heaven; he will say unto us, why did ye not then believe him?
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting