From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
sote tulijifunza jambo hilo na tunalichukulia kuwa ni ukweli wa kisayansi.
we all studied that and know it scientifically.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tulipokuwa shule tulijifunza kwamba kuna majira fulani ya mapukutiko ambapo miti ilipukutisha majani, nilikuwa sijawahi kuliona jambo hilo isipokuwa hapa.
at school we used to study that there was an autumn in which leaves fall from the trees but i have never seen that with my very own eyes except here.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ni kwa sababu hiyo hiyo tulijifunza kwamba nchi iliyoshindwa ya somalia ilishindwa kwa sababu ya vikundi vya magaidi wenye hasira wasiowaza kingine zaidi ya kuwaua wa-marekani.
it’s also how we learned that failed state somalia failed mainly because of its hordes of angry terrorists obsessed with killing americans.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: