From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
na akiachwa basi hapana ubaya kwao kurejeana wakiona kuwa watashikamana na mipaka ya mwenyezi mungu.
(in that case) there is no harm if they re-marry, provided that the woman and her first husband are convinced that they will be able to keep within the bounds fixed by allah.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
basi mkiogopa kuwa hawataweza kushikamana na mipaka ya mwenyezi mungu hapo itakuwa hapana lawama ikiwa mwanamke atajikomboa.
and if ye fear that they may not be able to keep the limits of allah, in that case it is no sin for either of them if the woman ransom herself.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
wala si halali kwenu kuchukua chochote mlicho wapa wake zenu, ila ikiwa wote wawili wakiogopa ya kwamba hawataweza kushikamana na mipaka ya mwenyezi mungu.
and it is not allowed unto you to take away aught ye have given them, except the twain fear that they may not observe the bonds of allah.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
"tunataka kuachana na mipaka inayotutenga na kutugawanya, iwe ni mipaka ya matabaka ya kijamii au mipaka ya kidini," alisema.
"we want to do away with the walls that divide and separate us, whether it's the walls of social class or the wall of ethnicity or the walls of religion," she says.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
wala si halali kwenu kuchukua chochote mlicho wapa wake zenu, ila ikiwa wote wawili wakiogopa ya kwamba hawataweza kushikamana na mipaka ya mwenyezi mungu. basi mkiogopa kuwa hawataweza kushikamana na mipaka ya mwenyezi mungu hapo itakuwa hapana lawama ikiwa mwanamke atajikomboa.
and it is not lawful for you to take back anything out of what you have given them. there is, however, an exception to this; if you fear that they might not be able to keep within the limits imposed by allah, there is no harm if both agree mutually that the wife should obtain divorce by giving something as compensation to the husband.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
na kama amempa t'alaka (ya tatu) basi si halali kwake baada ya hayo mpaka aolewe na mume mwengine. na akiachwa basi hapana ubaya kwao kurejeana wakiona kuwa watashikamana na mipaka ya mwenyezi mungu.
and if he divorces her, she will not be lawful for him thereafter until she marries a husband other than him, and if he divorces her, there is no sin upon them to remarry if they think that they can maintain allah’s bounds.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
inaelekezwa kuwa, mengi ya mapendekezo huru na yaliyo makini yaliyoandaliwa na kamati teule ya singapore- kama yale ya serikali kuweka bayana waundaji wasio na mipaka ya midahalo ya kisiasa, uanzishwaji wa mpango wa kuwasaidia kiuchumi watu wasio na ajira pamoja na kupunguza gharama za bidhaa kwa makundi ya watu wa kipato cha chini hayakutiliwa maanani.
it is instructive that a majority of the more liberal suggestions made by the remaking singapore committee – such as for the government to define the out-of-bounds markers for political debate, creating an economic relief scheme for the structurally unemployed and subsidising the medishield premiums of low-income groups – went unheeded.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.