From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
acha tumtangulize mungu kwa yote
we must precede god with all
Last Update: 2022-03-19
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
tunamshukuru mungu daima kwa ajili yenu ninyi nyote na kuwakumbukeni daima katika sala zetu.
we give thanks to god always for you all, making mention of you in our prayers;
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ndugu, tunapaswa kushukuru mungu daima kwa ajili yenu. inafaa kwetu kufanya hivyo kwani imani yenu inakua sana na kupendana kwenu kunaongezeka sana.
we are bound to thank god always for you, brethren, as it is meet, because that your faith groweth exceedingly, and the charity of every one of you all toward each other aboundeth;
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
tunapaswa kumshukuru mungu daima kwa ajili yenu ninyi ndugu, ninyi mnaopendwa na bwana, kwa maana mungu amewateua tangu mwanzo mpate kuokolewa kwa nguvu ya roho mfanywe watu wake watakatifu kwa imani yenu katika ukweli.
but we are bound to give thanks alway to god for you, brethren beloved of the lord, because god hath from the beginning chosen you to salvation through sanctification of the spirit and belief of the truth:
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: