Results for tunadhani translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

na tunadhani kwmaba lazima tuje na majibu ya matatizo, badala ya kuishi kwenye matatizo."

English

and we think that we should bring solutions to the table, rather than dwell on the problem."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

samak ni mhamasishaji wa kweli wa vyakula, na tunadhani atakuwa mchangiaji mkubwa kwa dunia nzima kwa uzoefu wake na kupenda kwake chakula cha ki-thai.

English

samak is a true culinary enthusiast, and we think he'll be a great contributor to the reputation and enjoyment of delicious thai food all over the world.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

inaanza kwa picha ya kompyuta kwenye chumba, na wakati ardhi ilivyokuwa ikisogea mingurumo ya ardhi inaweza kusikika, halafu taa zilizimikana tunaachwa kwenye giza, na kusikia sauti pekee ya mwanamke na mwanaume ambaye tunadhani ndio aliyekuwa amebeba kamera akijaribu kumtuliza.

English

it starts with a shot of a computer in a room, and as the earth moves the rumble of the earth can be heard, then the lights go out and we are left in the dark, hearing only the voices of a woman and a man we assume to be the one holding the camera trying to calm her down.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,897,816,614 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK