Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mara vitu kama magamba vikaanguka kutoka macho ya saulo, akaweza kuona tena. akasimama, akabatizwa.
and immediately there fell from his eyes as it had been scales: and he received sight forthwith, and arose, and was baptized.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
"unataka nikufanyie nini?" naye akamjibu, "bwana, naomba nipate kuona tena."
saying, what wilt thou that i shall do unto thee? and he said, lord, that i may receive my sight.
Last Update: 2023-07-19
Usage Frequency: 3
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
wakati huohuo, yesu alikuwa anawaponya watu wengi waliokuwa wanateseka kwa magonjwa na waliopagawa na pepo wabaya, akawawezesha vipofu wengi kuona tena.
and in that same hour he cured many of their infirmities and plagues, and of evil spirits; and unto many that were blind he gave sight.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
"roho wa bwana yu juu yangu, kwani amenipaka mafuta niwahubirie maskini habari njema. amenituma niwatangazie mateka watapata uhuru, vipofu watapata kuona tena; amenituma niwakomboe wanaoonewa,
the spirit of the lord is upon me, because he hath anointed me to preach the gospel to the poor; he hath sent me to heal the brokenhearted, to preach deliverance to the captives, and recovering of sight to the blind, to set at liberty them that are bruised,
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
basi, anania akaenda, akaingia katika hiyo nyumba. kisha akaweka mikono yake juu ya saulo, akasema, "ndugu saulo, bwana ambaye ndiye yesu mwenyewe aliyekutokea ulipokuwa njiani kuja hapa, amenituma ili upate kuona tena na kujazwa roho mtakatifu."
and ananias went his way, and entered into the house; and putting his hands on him said, brother saul, the lord, even jesus, that appeared unto thee in the way as thou camest, hath sent me, that thou mightest receive thy sight, and be filled with the holy ghost.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.