From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
suluhu nyingine, kama vile benzalkonium chloride na chrohexidine gluconate, hazijafanikiwa sana.
other solutions, such as benzalkonium chloride and chrohexidine gluconate, are less effective.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
hata hivyo, mbinu nyingine, kama vile sitotoksiki ya seli na/au phagocytosis zinazotegema kingamwili, zinawezekana.
other mechanisms however, such as antibody-dependent cellular cytotoxicity and/or phagocytosis, may be possible.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
maafisa wa ethiopia wanaitetea sheria hiyo kwa kudai kwamba vipengele vyake vyenye utata vilinukuliwa kutoka kwenye sheria zinazofanya kazi katika nchi nyingine kama vile uingereza.
ethiopian officials tend to defend the law by arguing that its controversial provisions were copied from the existing laws of countries such as the united kingdom.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tusiangalie intaneti kama tu njia kuu ya mawasiliano bali pia kama bidhaa, watu majumbani wanalipia kiwango kizuri cha pesa kila mwezi ili kuweza kutumia intaneti, na wanaridhia kufanya hivyo, kwa kuzingatia ukweli kwamba yanawekeza vikubwa kwenye mitandao na teknolojia ili kuweza kufikisha huduma zao majumbani na kwenye biashara mbalimbali nchini, je itakuwaje, katika mazingira haya, kama watu wataacha kulipia huduma za intaneti au wakichukua hatua nyingine kama vile kuchangia malipo, watoa huduma za kuunganisha intaneti watawezaje kutetea uwekezaji na juhudi zao za kuboresha huduma wakati serikali haisaidii lolote.
let’s not look at the internet as the super highway of information but look at it as a product, the people in their homes are paying a good amount of money and on a monthly bases just to access the internet and have a good time doing so, based on that fact are heavily investing in networks and technology to get that connection to every home and business in the country; what if people based on giving these circumstances stop subscribing to internet services or resorting to other options like subscription sharing, how can these isp’s justify their investment and effort to improve services when the government is not helping at all.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.