From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
tuzo
types of awards
Last Update: 2024-12-17
Usage Frequency: 1
Quality:
tuzo hizo hutolewa kwa wanablogu waandikao maudhui muhimu na yanayotolewa kwa ubunifu na muundo bunifu.
the awards reward bloggers that post on a regular basis, have great and useful content presented in a creative and innovative format.
video tatu zitakazoshinda zitazawadiwa dola za marekani 1000 na watengenezaji wataalikwa jijini new york kuhudhuria sherehe za tuzo hizo.
three winning videos will receive $1000 and the makers will be invited to new york city to attend an award ceremony.
blogu hiyo imeshawahi kushinda tuzo blogu bora ya safari ya kihispania na mwandishi wa mwongozo wa safari lonely planet.
the blog has already won the best spanish travel blog award by travel guide publisher lonely planet.
filamu ya danny boyle, slumdog millionaire, iliyotokana na kitabu chenye maudhui ya india imefanya vyema katika sherehe za 81 za tuzo ya academy.
danny boyle's slumdog millionaire, a british social film based on a novel set out in india made a clean sweep at the the 81st academy awards ceremony.
chama cha wanablogu wa kenya (bake) hii leo kilizindua zoezi la kupendekeza majina ya wawaniaji wa tuzo hizo za wanablogu wa kenya mwaka huu.
the bloggers association of kenya (bake) has today unveiled the nominees for the 2014 bake kenyan blog awards.
"sikiliza!" asema yesu, "naja upesi, pamoja na tuzo nitakalompa kila mmoja kufuatana na matendo yake.
and, behold, i come quickly; and my reward is with me, to give every man according as his work shall be.