Results for twajua translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

twajua kwamba sheria ni njema, kama ikitumiwa ipasavyo.

English

but we know that the law is good, if a man use it lawfully;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ndugu, twajua kwamba mungu anawapenda na kwamba amewateua muwe watu wake,

English

knowing, brethren beloved, your election of god.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huyo ndiye yule aliyeshuhudia mambo haya na kuyaandika. nasi twajua kwamba aliyoyasema ni kweli.

English

this is the disciple which testifieth of these things, and wrote these things: and we know that his testimony is true.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mungu aliwaita miungu wale waliopewa neno lake; nasi twajua kwamba maandiko matakatifu yasema ukweli daima.

English

if he called them gods, unto whom the word of god came, and the scripture cannot be broken;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yeye hutusikiliza kila tunapomwomba; na kwa vile tunajua kwamba yeye hutusikiliza kila tunapomwomba, twajua pia kwamba atupatia yote tunayomwomba.

English

and if we know that he hear us, whatsoever we ask, we know that we have the petitions that we desired of him.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa maana, hata kama dhamiri yetu yatuhukumu, twajua kwamba mungu ni mkuu zaidi kuliko dhamiri, na kwamba yeye ajua kila kitu.

English

for if our heart condemn us, god is greater than our heart, and knoweth all things.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa kuyataja kama mashambulizi ya kanisa yaweza maanisha chochote, ilhali twajua kuna chembechembe za msimamo mkali wa al-shaabab nyuma ya mashambulio hay.

English

dear nation,it's time we all start calling this attacks for what they are......terrorist attacks.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

anayezitii amri za mungu anaishi katika muungano na mungu na mungu anaishi katika muungano naye. kwa njia ya roho ambaye mungu ametujalia, sisi twajua kwamba mungu anaishi katika muungano nasi.

English

and he that keepeth his commandments dwelleth in him, and he in him. and hereby we know that he abideth in us, by the spirit which he hath given us.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watoto, mwisho u karibu! mlikwisha sikia kwamba adui wa kristo anakuja, na sasa adui wengi wa kristo wamekwisha fika, na hivyo twajua kwamba mwisho u karibu.

English

little children, it is the last time: and as ye have heard that antichrist shall come, even now are there many antichrists; whereby we know that it is the last time.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

twajua pia kwamba mwana wa mungu amekuja, akatupa elimu ili tumjue mungu wa kweli; tuishi katika muungano na mungu wa kweli--katika muungano na mwanae, yesu kristo. huyu ndiye mungu wa kweli, na huu ndio uzima wa milele.

English

and we know that the son of god is come, and hath given us an understanding, that we may know him that is true, and we are in him that is true, even in his son jesus christ. this is the true god, and eternal life.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,927,607,583 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK