From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
hao ni askari watao shindwa miongoni mwa makundi yatayo shindwa.
(as they denied allah's message) they will be a defeated host like the confederates of the old times (who were defeated).
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
mtangazaji wa redio katika mtindo wa kushtua umma, ambaye pia ni askari polisi wa zamani, alishutumiwa hivi karibuni juu ya kupinga kuvaliwa kwa hilo vazi la burqa.
an australian radio shock-jock, and ex-police officer, drew criticism recently over his opposition to the wearing of the burqa in public.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kiran bedi (@thekiranbedi), ambaye ni askari mstaafu kutoka delhi, ambaye anajulikana kwa utendaji kazi uliotukuka na mmoja wa wapinga rushwa nchini india, alitwiti:
kiran bedi (@thekiranbedi), a former police officer from delhi who is recognized for her philanthropic activities and anti-corruption crusade in india, tweeted:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
jioni ya ijumaa iliyopita kati ya saa 2 na saa 3 usiku kwenye mtaa wa eveline huko goreangab sehemu ya windhoek, mapigano yalianza kati ya wanachama 15 wa swapo na wanachama 7 wa rdp baada ya wale wa chama tawala huku wakimba “sisi ni askari wa nujoma ” walipobandua bango la chama cha rdp kwenye nguzo ya umeme ya manispaa.
last friday evening between 20hoo and 21hoo in eveline street in the goreangab suburb of windhoek, fighting started between a group of 15 swapo party and 7 rdp supporters after the former singing 'we are nujoma's soldiers' removed a rdp poster from a municipal light pole.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.