From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kufungwa kwa shule kwa lazima na hatua zingine za kutotangamana kwa watu zilihusishwa na upungufu wa 29% hadi 37% katika viwango vya uambukizaji wa homa ya mafua.
mandatory school closures and other social distancing measures were associated with a 29% to 37% reduction in influenza transmission rates.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
kuongeza nguvu katika programu za kuzuia uambukizaji wa kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto, dawa zinazozuia akina mama wajawazito wenye vvu kuwapatia watoto wao ambao hawajazaliwa maambukizo na kueleza kwamba chango madhubuti ya vvu ilikuwa ikihitajika mno.
she also said the government was committed to scale-up mother-to-child prevention programs, therapies that prevent hiv-positive pregnant moms from passing on the disease, and that an effective hiv vaccine was desperately needed.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
asilimia kubwa kabisa ya vijana nchini liberia haina ufahamu kuhusu uambukizaji na kukabiliana na vvu, na dhana hii imetokana si kwa sehemu ndogo, na kiwango kinachotisha cha ujinga (wa kutokujua kusoma na kuandika.)
a very huge percentage of the youth population in liberia has practically no knowledge about the transmission and prevention of hiv, and this phenomenon is due in no small part to the country’s spiralling illiteracy rate.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: