From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
uchochezi huu una mizizi ndani zaidi.
this exasperation has deeper roots.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
katuni ya zunar: sheria ya uchochezi nchini malaysia
cartoon zunar: sedition act ala malaysia pic.twitter.com/gqvz7u4kxf — zunar cartoonist (@zunarkartunis) april 11, 2015
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
na shet'ani akikuchochea kwa uchochezi wewe jikinge kwa mwenyezi mungu.
and if (at any time) an incitement to discord is made to thee by the evil one, seek refuge in allah.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
katuni hii ilitumiwa kama sababu ya mashitaka ya uchochezi dhidi ya zunar.
this cartoon was used as a basis to charge zunar with sedition.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
baada ya miaka mitatu, muda wake gerezani uliongezwa baada ya kushtakiwa tena kwa uchochezi.
after three years, his prison term was extended after he was charged with sedition.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwani huoni ya kwamba tumewatuma mashet'ani kwa makafiri wawachochee kwa uchochezi?
beholdest thou not that we have sent the satans upon the infidels inciting them by an incitement? *chapter: 19
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
mjadala huu unaendeleza mwelekeo wa kusikitisha: matamshi ya kibaguzi na ya uchochezi dhidi ya jamii ya warumi.
this debate is taking a worrisome path towards a narrative hostile and discriminatory towards the roma community.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
katuni za zunar kuhusu kupitishwa kwa sheria mpya ya uchochezi ambayo wanaharakati wanaamini itabana uhuru wa maoni mtandaoni:
zunar's cartoon about the passage of the new sedition law which activists believe will undermine online dissent:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
na shet'ani akikuchochea kwa uchochezi wewe jikinge kwa mwenyezi mungu. hakika yeye ni mwenye kusikia, mwenye kujua.
(muhammad), seek god's protection if satan's temptation grieves you, for god is all-hearing and all-knowing.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
mwandishi wa makala hiyo ambaye hakujifahamisha, alihitimisha kuwa habari hii yote ni uchochezi ulioandaliwa na muhammad salih ili kutikisa jamii ya uzbek na kutafuta kujulikana kimataifa.
the author of the article, who remained anonymous, concluded that the entire story is provocation prepared by muhammad salih to destabilize uzbek society and gain international attention.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
@7azem122: uchochezi dhidi ya watu wa imani ya shia ulianza wiki mbili zilizopita katika misikiti yote na siku ya leo wamekamilisha mpango wao.
@7azem122: instigating against the shia started two weeks ago in all the mosques and today they executed their plan.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mchora katuni wa malaysia anayekabiliwa na mashtaka ya uchochezi ameapa kuendelea kutumia penseli yake kuikosoa serikali kwa ufisadi, ukiukwaji wa haki za binadamu, na matumizi mabaya ya madaraka.
a malaysian cartoonist facing several sedition charges has vowed to keep on using his pen to criticize government corruption, human rights violations, and abuses of power.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
watu wanne nchini misri ambao ni wafuasi wa imani ya shia wameuawa nchini humo hii leo mara baada ya nyumba waliyokuwa wanakutania kushambuliwa na waislam wenye msimamo mkali , hali iliyotokana na uchochezi dhidi ya watu wa imani ya shia.
four egyptian adherents of the shia faith were killed in egypt today when the house they were meeting in was attacked by salafists, following two weeks of instigation against the shia.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
viwango vya dalili za ugonjwa wa moyo ni ya juu, kwa sababu ya ugonjwa wa mfumo wa kujibu uchochezi na mfumo wa kinga wakati wa maendeleo ya ugonjwa huo, lakini jeraha kali la ukuta wa moyo unaweza pia unahusiana na vipokezi za ace2 moyoni.
rates of cardiovascular symptoms is high, owing to the systemic inflammatory response and immune system disorders during disease progression, but acute myocardial injury may also be related to ace2 receptors in the heart.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
wale waliodai kuwa tayari kupambana mpaka mwisho kwa ajili ya uhuru, (...) wanakemea uchochezi usiovumilika wakati amina alipojielezea (...)
those claiming to be ready to fight until the end for freedom, (...) are denouncing an intolerable provocation when amina expressed herself(...)
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
wakati huo huo, nchini venezuela kiongozi wa upinzani leopoldo lópez alitekeleza ahadi yake kwa kujisalimisha mwenyewe kwa mamlaka za serikali na rais nicolás maduro alitangaza kwamba atakabiliwa na mashitaka ya uchochezi na "kutokuelewa katiba".
meanwhile, in venezuela the opposition leader leopoldo lópez turned himself in to the authorities and president nicolás maduro assured that he will faces charges of sedition and "unawareness of the constitution".
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
abdulkareem al-khadar, mwanafamilia ya kifalme mwanzilishi wa shirika la haki za binadamu, chama cha ki-saudi cha haki za kiraia na kisiasa (acpra), alihukumiwa kifungo cha miaka nane jela kwa kosa la uchochezi na kuanzisha shirika la haki za binadamu lisilo na leseni pamoja na mashtaka mengine, katika hukumu hiyo miaka mitano itaahirishwa na kutumika tu ikiwa mwanaharakati huyo atashiriki au kuhusishwa na mkutano wowote kinyume cha sheria baada ya kuachiliwa kwake.
abdulkareem al-khadar, a founding member of the kingdom's defiant leading human rights organisation, the saudi civil and political rights association (acpra), was sentenced to eight years in prison for inciting public opinion and establishing an unlicensed human rights organization among other charges, five years of which to be suspended and applied only if the activist participates in any illegal assembly or association after his release.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: