From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
shukrani ziwaendee wasanii wa uchoraji kuta ambao picha zao za ukutani za kupendeza zinaonekana maeneo mbalimbali ya jiji.
this is largely thanks to its graffiti artists, whose brightly colored murals are popping up all around the city.
wasanii wa uchoraji kuta wana mategemeo ya kuwafikia vijana wadogo wa san pedro sula,wengi wao wakifanya juhudi za kulikimbia jiji kuliko kuendelea kuishi kwenye jiji lenye ghasia.
the graffiti artists hope to connect with the young people of san pedro sula, many of whom choose to flee rather than stay in the turbulent city.
if: wachoraji wa mjini ni jumuiya ya watu wasiotengeneza faida yoyote, jumuiya ya kimataifa, inayojikita kukuza sanaa ya uchoraji na upakaji rangi wa mahali fulani.
if: urban sketchers is a non-profitmaking, international organisation, dedicated to fostering the art of on-location drawing and painting.
msanii wa uchoraji kuta, rei blinky ndiye haswa mwandishi wa habari nathaniel janowitz anamhesabu kuwa ndiye "mwanzilishi" wa harakati hizi kupitia sanaa iliyoenea maeneo mbalimbali ya jiji.
graffiti artist rei blinky is what journalist nathaniel janowitz calls a "pioneer" for the artistic movement sweeping through the city.