From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
udereva na ufundi wa magari(karakana)
driving and car mechanics (garage)
Last Update: 2024-09-01
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
umeme wa magari
auto electric
Last Update: 2022-06-20
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nikajiendeleza na ufundi kuchomelea
i started my primary education in school.
Last Update: 2024-04-22
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
huo ndio ufundi wa mwenyezi mungu aliye tengeneza vilivyo kila kitu.
(such is the) making of allah, who has created everything well.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nchi hiyo ya kifalme imechukua hatua madhubuti kumaliza tatizo la msongamano wa magari barabarani
the kingdom takes serious measures to end traffic chaos
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
na unaiona milima unaidhunia imetulia; nayo inakwenda kama mwendo wa mawingu. huo ndio ufundi wa mwenyezi mungu aliye tengeneza vilivyo kila kitu.
and thou seest the hills thou deemest solid flying with the flight of clouds: the doing of allah who perfecteth all things. lo!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
vifua vyao vilikuwa vimefunikwa kitu kama ngao ya chuma. sauti ya mabawa yao ilikuwa kama sauti ya msafara wa magari ya farasi wengi wanaokimbilia vitani.
and they had breastplates, as it were breastplates of iron; and the sound of their wings was as the sound of chariots of many horses running to battle.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
habari yako mkuu natumaini ni mzima wa afya mimi ninafanyakaz ya utengenezaji wa magari hususani kupiga rangi nilikuwa naombi la kuja kama gereji ili nipige rangi machine zako zote na tekta zako zenye huitaji kama hutojali gharama zetu ni za kawaida tu
your information is great. i hope you are healthy. i am a car mechanic, especially painting.
Last Update: 2021-05-02
Usage Frequency: 2
Quality:
Reference:
mshindani mwingine katika kigezo hiki ni han han, mwandishi wa riwaya mwenye ufanisi mkubwa ambaye pia ni dereva wa magari ya mashindano wa huko china ambaye ametokea kuwa mwanablogu aliyesomwa sana nchini china na mshiriki katika shindano la 100 bora wa gazeti la time.
another contender of this category is han han, a prolific novelist and race car driver from china who happens to be china's most read blogger and a contender for time magazine's top 100 list.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
rais sata na serikali yake ya chama cha pf wameanika vitendo kadhaa vya kifisadi ambavyo viliendelea katika kipindi cha utawala wa mtangulizi wake, rupiah banda kama vile ununuzi wa magari ya bei mbaya aina ya lexus, kufukuliwa kwa mabilioni ya kwacha kutoka kwenye shamba la waziri wa zamani na skandali nyinginezo ambazo bado bado hazijadhibitishwa.
president sata and his pf government have exposed a number of illegal dealings that went on during his predecessor, rupiah banda’s reign such as the purchase of expensive lexus cars, the unearthing of billions of kwacha from a former’s minister’s farm and other scandals most of which are yet to be proved.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
sokari anaandika kuhusu tangazo la biashara la kombe la dunia la kibaguzi lililotengenezwa na wakodishaji wa magari wa kijerumani sixt: "tangazo hilo hapo juu lilitumwa kwangu na rafiki kutoka ujerumani ambaye alifafanua hivi: linacheza kauli mbiu kadhaa zenye mtazamo wa kiulaya, mtazamo unaodharau uafrika kuhusiana na mchezo wa mpira unaokuja kati ya ghana/ujerumani."
sokari writes about a racist world cup ad by german car rental sixt: "the above advert was sent to me by a friend from germany which she explains as follows: it is playing various eurocentric, afro-pessimism clichés in relation to the coming ghana/germany soccer play."
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting