Ask Google

Results for udhalilishaji translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

Udhalilishaji wa macho una mfumo.

English

Macho violence has a framework.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kusema "mimi sikupendi" ni udhalilishaji??

English

Saying "I don't love you" is macho violence??

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Je kuna chembe yoyote ya udhalilishaji ndani yake?

English

Is there any element of defamation in it?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Haikujalisha, harakati za kukabiliana na udhalilishaji huo zinaendelea.

English

Nevertheless, initiatives to combat harassment continue.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Misri: Maandamano ya Kukomesha Udhalilishaji wa Kijinsia Yavamiwa

English

Egypt: March to End Sexual Harassment Attacked · Global Voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mwezi Juni matembezi ya kupinga udhalilishaji wa kijinsia yalishambuliwa.

English

In June a march against sexual harassment was attacked.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Wa-Mauritania Wapinga Udhalilishaji wa Viwanja vya Tahrir Square

English

Mauritanians Protest Tahrir Square Assaults · Global Voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Misri: Waandamanaji Watuma Ujumbe Dhidi ya Udhalilishaji wa Kijinsia.

English

Egypt: Protest Sends Message Against Sexual Harassment · Global Voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Tunasema hapana kwa udhalilishaji wa kijinsia, linasomeka bango moja kwenye maandamano.

English

No to sexual harassment, reads a sign held at the protest.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mat Cendana anahofia kuwa kesi hii inaweza kusababisha kesi nyingine zaidi za udhalilishaji nchini Malaysia.

English

Mat Cendana is worried that the case may lead to more defamation suits in Malaysia

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Nashangaa kama udhalilishaji wa kutumia macho wanafanya kitu kuhamasisha dini ambazo hujiunga na wanawake wabaya.

English

I wonder if macho violence has something to do with encouraging religions that associate women with Evil.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Ni kudhalilisha kuwa na kitu ghafi kusemwa kwako wewe, na udhalilishaji ni aina ya kutendewa vibaya.

English

It is humiliating to have something crude said to you, and humiliation is a form of mistreatment.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"Udhalilishaji wa kijinsia dhidi ya wanawake "hutokea" kila mahali kila siku"??

English

"Violence against women" occurs "everywhere every day"??

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Unasaidia kukabiliana na na unyanyasaji na udhalilishaji ikiwa ni pamoja na kuwaongezea watu ufahamu zaidi kuhusiana na watu hao.

English

It helps to overcome prejudices and stereotypes and improve people's knowledge about them.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

67% hawakuripoti tukio kubwa zaidi la udhalilishaji waliofanyiwa na wapenzi wao kwa polisi au mashirika mengine.

English

67% did not report the most serious incident of partner violence to the police or other organizations.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Nchini Misri, udhalilishaji wa kijinsia ni tatizo kubwa, na ndilo jambo linaloongozwa kupingwa na Wamisri.

English

In Egypt, sexual harassment is a serious problem, and one which more and more Egyptians are speaking out against.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Malengo ya maandamano ya Julai 4 yalilenga kuweka msimamo kuhusu kupinga udhalilishaji wa kijinsia na kudai usalama wa mitaa kwa wote.

English

The aim of the July 4 protest was to take a stand against sexual harassment and to demand safe streets for all.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Ahmed Abdel-Rahman amekuwa kizuizini kwa mwaka mmoja leo kwa sababu tu alisaidia kuwalinda wanawake dhidi ya udhalilishaji wa polisi

English

Ahmed Abdel-Rahman has been in detention for1year today for protection a women from attacks of policeman #FreeAlaa pic.twitter.com/OoHhSKZ5Tx — صامدون حتى النصر (@hendnafe3) October 27, 2015

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Picha imewekwa kwenye mtandao wa twita na Sarah El Deeb Taarifa za udhalilishaji wa kijinsia zimeendelea kumiminika kwenye miezi kadhaa za maandamano.

English

Photograph shared on Twitter by Sarah El Deeb Reports of sexual harassment have continued to trickle throughout the months of protest.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Maneno haya yanatokana na udhalilishaji wa polisi wa unyunyizaji wa maji ya kuwasha pamoja na nguo zilizolowanishwa kwa siki au leso ambazo waandamanaji walizitumia kuzuia wasiathiriwe na matumizi ya vitu hivyo.

English

The words refer to the police's indiscriminate use of pepper spray and the vinegar-soaked cloth or bandanas that some protesters wear to counter the effects.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK