Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
rwanda imejiimarisha vema kama kiini cha teknolojia, habari na mawasiliano (teknohama) katika ukanda huu, hasa baada ya kuwa na mfumo madhubuti wa tasnia ya teknohama, ikiwemo ufanyaji biashara, utoaji huduma vyote kwa njia ya mtandao, lakini pia uendelezaji utumiaji zana za kisasa na teknolojia katika kushughulikia mambo mbalimbali.
rwanda has positioned itself as a regional hub for information and communication technology (ict) with a robust ict industry, including e-commerce, e-services, applications development, and automation.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: