Results for ufinyu wa nafasi translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

ufinyu wa nafasi

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

uunganishi utaulizia uthibitisho kabla ya upishanaji mpya wa nafasi kwa faili lolote katika folida lenye mzozozano na mafaili yanayonakiliwa.

English

merging will ask for confirmation before replacing any files in the folder that conflict with the files being copied.

Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:

Swahili

zaidi, bila maelekezo ya kiamandishi kutoka kwa rais yeye mwenyewe, uhalali wa nafasi ya jonathani kisheria ungekuwa haueleweki vyema.

English

further, without written instructions from the president himself, the legal extent of jonathan's position were unclear.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa mfano kama ungekuwa na mapenzi na sekta ya sayansi, kura yako ungempa mgombea wa nafasi ya kisiasa mwenye utashi wa kufadhili sayansi.

English

if you loved science, you’d vote based on candidates who want to increase funding for it.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

dr. buamah alisema kwa hiyo ilikuwa ni jambo linalotegemewa kwa vijana kutegemea unafuu wa nafasi za ajira baada ya kupatikana mafuta ya ghana.

English

dr. buamah said it was therefore normal for the youth to expect better employment prospects from ghana's oil find.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati kampeni zikipamba moto, wagombea wa nafasi ya urais, ubunge na udiwani wameanza kutumia zana mpya za mawasiliano ya jamii ili kuwasiliana na wapiga kura.

English

as the campaigns heat up, presidential candidates and other candidates fighting for parliamentary seats are using new media tools to communicate with potential voters.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mmoja wa wagombea wa nafasi ya urais kutoka vyama vya upinzani, dkt. wilbrod slaa wa chama cha chadema anaukurasa wa facebook unaounganishwa na tovuti rasmi na ambao una washabiki wapatao 910.

English

one of the opposition parties presidential candidates dr. wilbrod slaa from chadema party has a facebook page linked from his official website with about 910 fans.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hali hii imeongezeka kadri maandamano hayo yanavyozidi kutoa wito wa mfumo wazi wa uteuzi wa mgombea wa nafasi ya mtendaji mkuu wa jiji hilo, dai ambalo linapingana na matakwa ya bara ya kuwa na kamati inayohodhiwa na watu wenye mrengo wa beijing.

English

this trend has only increased with the recent protests calling for an open nomination system of candidates for the city's chief executive, which goes against the mainland's wish for a largely pro-beijing nominating committee.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mgombea urais wa kolombia antanas mockus, wa chama cha kijani , ametia muhuri ushirika na aliyekuwa meya wa medellín, sergio fajardo, ambaye atakuwa mgombea mwenza wake wa nafasi ya makamu wa rais kwenye uchaguzi wa tarehe 30 mei mwaka 2010.

English

colombian presidential candidate antanas mockus, of the green party , sealed an alliance with the medellín's ex-mayor, sergio fajardo, who will be his vice-presidential running mate for the may 30, 2010 elections.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata hivyo, waziri wake wa sheria na katibu mkuu wa pf wynter kabimba akiwa kwenye ziara nchini malawi huenda alipuuzia woga wa serikali wa serikali yake kwenye rasimu ya katiba - kufikiwa kwa asilimia 50 ya kura zote jumlisha kura moja kwa uchaguzi wa rais na mgombea mwenza wake wa nafasi ya umakamu wa rais.

English

however, his justice minister and pf secretary general wynter kabimba during a visit to malawi probably gave away the biggest fear his government had in the draft document—50 percent plus one threshold for election to the office of the president and a presidential running mate for the office of vice president.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,747,772,995 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK