Ask Google

Results for ugavi translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

ugavi

English

logistics

Last Update: 2016-07-23
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ugavi na manunuzi

English

Procurement

Last Update: 2018-08-08
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Kama ilivyo katika nchi nyingi za Kiafrika, Cameroon inataabika na ugavi duni wa umeme nishati ya umeme.

English

Like many other African countries, Cameroon suffers from insufficient electricity supplies.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Sehemu kubwa ya mahindi inalimwa na wakulima wadogo ambao wanakabiliwa na hali ya ukame wa mara kwa mara hata nyakati za majira ya mvua, ugavi wa mbolea usioaminika na wenye gharama kubwa, na matatizo ya usafiri kati ya mashamba yao na yaliko masoko ya mahindi.

English

The bulk of the maize is grown by peasant farmers who are faced with regular droughts during the rainy season, an unreliable and expensive supply of fertilizer, and difficulties transporting the commodity to markets.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Wale waliohojiwa walisema, ugavi wa umeme wa uhakika na mwisho wa uchumi unaotegemea mashjine za jenereta kutaizifanya jitihada za kutengeneza chapa mpya ya Naijeria kuwa “rahisi.”

English

Those interviewed said, consistent power supply and an end to a diesel generator economy will make rebranding Nigeria "effortless."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Aidha, ugavi wa umeme usioaminika unagusa maisha ya idadi kubwa ya watu nchini humo.Feowl ni mradi mpya unaotaribiwa na jamii unaolenga kukusanya, kusaili na hatimaye kutoa takwimu ambazo kwa sasa hazipatikani juu ya athari za ugavi duni wa umeme huko Douala, eneo linalosifika kwa shughuli za uchumi nchini humo.

English

Yet unreliable electricity supplies are also a major concern for the wider population. Feowl is a new community-led initiative that aims to refine and provide currently absent data on the impact of poor electricity supply in Douala, the economic center of Cameroon.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Tumechukua uamuzi ili kulinda usalama wa chakula katika nchi na pia kuhakikisha kwamba wakulima wadogo hawakatishwi tamaa kuzalisha mazao katika miaka ijayo…kuhakikisha mahindi yanayolimwa Zambia yanakuwa na ushindani vya kutosha katika soko la kimataifa. Serikali itahakikisha gharama za uzalishaji zinapungua kupitia, pamoja na mikakati mingine, mafunzo ya huduma za ugavi wa kilimo na usafiri kwa ajili ya wafanyakazi wa mafunzo hayo kwa mtazamo wa kuongeza uzalishaji miongoni mwa wakulima wadogo.

English

We have taken this decision in order to protect the food security of the country and also to ensure that small-scale farmers are not discouraged from producing the crop in subsequent years… To ensure that Zambian maize is competitive on the international markets, the Government will ensure that production costs are reduced through, among other strategies, the provision of agricultural extension training and transportation for mobility to extension workers with a view to increasing productivity among the small-scale farmers.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK