From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mitandao ya kijamii
social networking
Last Update: 2019-02-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
majukwaa ya mitandao ya kijamii
social media apps
Last Update: 2022-04-13
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
tunisia: mwaka 2011 katika picha za mitandao ya kijamii
tunisia: 2011 in citizen media photos · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mitandao ya kijamii siku hizi imekuwa jukwaa gumu kulitumia.
networks are nowdays a complex medium.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mitandao ya kijamii imekuwa ni sehemu ya ugunduzi na ubunifu.
social media is also the space for innovation and creative thinking.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
aliyetengeneza picha hii hafahamiki -inasambaa kwenye mitandao ya kijamii.
image author anonymous - widely distributed on social networks.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
aliweka taarifa za mradi wake huu katika mitandao ya kijamii akiwaomba raia wa libya kumsaidia.
she posted about her project on social media, asking libyans if they were able to help.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
tarakimu hizo hazitafutiki kwenye tovuti za kutafutia taarifa na haziwezi kuonekana kwenye mitandao ya kijamii.
they are all unsearchable on mainland chinese search engines and cannot appear in public timelines on social media.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
habari zisizothibitishwa za polisi kutumia risasi za mpira kuwatawanya waandamanaji zimeenea kwenye mitandao ya kijamii.
unverified accounts of police using rubber bullets to shoot at protesters have circulated on social media.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
walipomaliza mashairi hayo, waliyasambaza kwenye mitandao ya kijamii na kwa njia ya makaratasi.
once they finalized the lyrics, they circulated them on social media and distributed them on paper.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
video zinazoonyesha dalili ya hatua za kijeshi zinazochukuliwa na iran nchini syria zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii.
videos suggesting iranian military activity on the ground in syria have gone viral on social media.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
tanzia zimekuwa zikimiminika katika mitandao ya kijamii ya naijeria tangu kutangazwa kwa kifo chake.
eulogies have continued to stream in on nigerian social media since the announcement of his death.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
je, unalo wazo la kuisaidia jamii yako kusimulia habari zao kupitia mitandao ya kijamii?
are you brimming with an idea to help your community tell their story through citizen media?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
inaonekana kuwa, ushiriki wake kwenye kampeni za mtandaoni ndio uliomfanya kufahamika kwake na mamlaka ya nchi ya kufuatilia mitandao ya kijamii.
it seems that her participation in the online campaigns got her noticed by state authorities monitoring social networks.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
blogu yake haina zaidi ya mwezi mmoja, aliianzisha baada ya kuhudhuria warsha ya kublogu na mitandao ya kijamii mjini nairobi.
his blog is not more than a month old, something he started after attending a workshop on blogging and social networks in nairobi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
baada ya kuwasili kwake katika ardhi ya senegali haya yalikuwa maneno yake ya kwanza yaliyotawala mitandao ya kijamii.
since his arrival on senegalese soil "because of obama" seems to be the most prominent use of the word that took over the social networks.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
hata hivyo, haijawa wazi kama ni kweli mpango huo ni matokeo ya moja kwa moja ya kampeni ya kukabiliana na ebola iliyoanzia kwenye mitandao ya kijamii.
however, it is not clear whether this initiative is the direct result of the ebola free campaign on social media.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
anuani hizo za mitandao ya kijamii zinaendeshwa kwa lugha za ki-thai na kiingereza, kwa ajili ya hadhira ya nyumbani huko thailand na duniani kote.
activists' social media accounts are maintained in thai and in english, serving audiences both at home in thailand and around the world.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
global voices ilimwuliza ordosgoitti atusimulie uzoefu wake kuhusu kufuatiliwa kwa kazi zake kwenye majukwaa ya mitandao ya kijamii kwa lengo la kumdhibiti.
global voices asked ordosgoitti to tell us about her experience with censorship on social media platforms.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hii sio mara ya kwanza kwa majina ya viongozi wa ngazi ya juu sana nchini uzbek kutumika kwenye akaunti zenye utata kwenye mitandao ya kijamii.
this is not the first time that high-ranking uzbek public figures’ names have been used for suspicious accounts in social networks.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: