Results for uliokuwepo translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

uliokuwepo

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

umati wa watu uliokuwepo sehemu hiyo baada ya kugutushwa na mtoto aliyekuwa akipiga kelele "samaroka!

English

the crowd was alerted by a kid shouting "samaroka!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

matamshi ya waziri wa mambo ya ndani wa ufaransa, manuel valls, yalifufua uhasama uliokuwepo kati ya ufaransa na warumi.

English

the statement from the interior minister of france manuel valls gave new life to the tense relationship of france with the roma community.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jeremiah kutoka katika studio ya granite atoa maoni yake kwenye televisheni ya taifa ya china, cctv akitaka kuonesha uhusiano uliokuwepo kati ya mandela na mao zedong:

English

jeremiah from jotting in the granite studio comments on the china's state broadcaster cctv's attempt to draw the link between mandela and mao zedong:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

abdulaziz al-shihri alitwiti: "askari kanzu hawana si tu ukarimu uliokuwepo kabla ya uislamu, bali hata maadili ya baada ya kuwepo uislamu.

English

abdulaziz al-shihri tweeted: "secret police do not have either pre-islam generosity, nor post-islam ethics.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

tushukuru siku hizi kuna uwazi ulioletwa na vyombo vya habari ambao uliwezesha jambo hili kufahamika na kufikia wizara husika kupata upinzani mkali kutoka kwa raia watumiao mtandao kufuatia uamuzi huo. ukosoaji wa hatua hiyo umechochea kwa namna mpya mjadala uliokuwepo wa mamlaka ya taasisi husika na kukiukwa kwa dhana ya nchi kutokuwa na dini kwa mujibu wa katiba ya nchi hiyo.

English

thanks to the visibility drawn by the media to this particular case though, the itamaraty has fallen under heavy criticism by the online community for its decision, sparking a discussion on the institution's power and on the violation of the very notion of secularism enshrined in brazil's constitution.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

belgiran anaandika kwamba kiongozi wa irani, ali khamenei, alimpindua mousavi hata kabla hajakuwa rais na akamweka ahmadinejad… anaandika, “utawala huu umepoteza uaminifu mdogo uliokuwepo.”

English

belgiran writes that iranian leader, ali khamenei, overthrew moussavi by a coup before he even bacame president and replaced him with ahmadinejad... he writes, "this regime just lost the little legitimacy that it had."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,766,372,953 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK