From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
uhuni
it's the evidence of the
Last Update: 2023-11-19
Usage Frequency: 1
Quality:
maana ya uhuni
sense of decadence
Last Update: 2017-01-02
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kutokuwajibika, uhuni usioelezeka! — malcolm o. ifi, esq. (@saymalcolm) april 16, 2014
the irresponsibility, the rascality is unbelievable! — malcolm o. ifi, esq. (@saymalcolm) april 16, 2014
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
jumanne, wanablogu wawili vijana walihukumiwa kifungo jela –mmoja kwa miaka miwili na nusu, na mwingine kwa maika miwili– kwa mashitaka ya kipuuzi ya uhuni.
on tuesday, two young bloggers were sentenced to prison — one for two-and-a-half years, the other for two years — on the ridiculous charge of hooliganism.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa mujibu wa tovuti ya mada masr, iliyonukuu kutoka kwenye tovuti inayomilikiwa na ahram gate, watuhumiwa hao wanadaiwa: “kuandaa maandamano haramu nje ya jengo la baraza la shura jijini cairo, kumshambulia afisa wa polisi, kuiba radio ya upepo, uhuni, ghadhabu dhidi ya maafisa wa polisi, kufunga barabara, kujaza watu kwenye maeneo ya umma na kuharibu mali ya umma."
according to mada masr, which quoted the state-owned ahram gate website, they are accused of: “organizing an unauthorized protest outside the shura council in cairo, attacking a police officer, stealing a walkie-talkie, hooliganism, aggression against police officers, blocking the road, crowding a public place and destruction of public property.”
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting