Results for umeonyesha translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

umeonyesha

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

uzoefu wa wachina wa upimaji umeonyesha usahihi ni asilimia 60 hadi 70 tu.

English

the chinese experience with testing has shown the accuracy is only 60 to 70%.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na hatimaye uchaguzi umeonyesha utupu wa wataalamu wa mambo ya kisiasa nchini malawi.

English

and finally the elections have exposed the vacuity of some of the political punditry in malawi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mfumo wa sheria wa nchi hii umeonyesha kwamba unaweza kufanya kazi ikiwa pana utashi wa kisiasa.

English

the country's justice system has shown that it can work if there is political will.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

uchaguzi wa zimbabwe (@zimelections) umeonyesha ukubwa wa tatizo la wapiga kura mfu:

English

zim elections (@zimelections) showed the seriousness of dead voters' problem:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

utafiti umeonyesha kuwa ugonjwa wa virusi kama vile ebola, hiv, homa ya mafua na sars huathiri wanaume na wanawake tofauti.

English

research has shown that viral illnesses like ebola, hiv, influenza and sars affect men and women differently.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mpango wa kwanza wa maendeleo wa miaka mitano kwenye eneo la teknolojia mpya , ulibuniwa mwaka 2001, umeonyesha mafanikio makubwa.

English

the country's first five-year plan for the development of new technologies , created in 2001, showed significant progress.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hatimaye, ugunduzi wa kisa kilichothibitishwa cha covid-19 umeonyesha utekelezaji wa haraka wa uchunguzi huu ulioboreshwa katika mtandao wa kitaifa.

English

finally, early detection of a confirmed covid-19 case has exemplified the rapid implementation of this enhanced surveillance in the national network.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

diário de classe , ukurasa wa facebook uliofunguliwa na isadora faber, aliye na miaka 13 na anayetokea santa catarina, brazil, tayari umeonyesha kupendwa zaidi ya mara 176,000.

English

diário de classe , a facebook page created by isadora faber, a 13 year-old from santa catarina, brazil, has already gathered more than 176,000 "likes".

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

alisema hatua hiyo inakusudiwa kulinda sekta ya mawasiliano nchini humo, akiongeza kuwa utafiti umeonyesha kuwa "watu laki moja nchini bahrain wametumia zana hizo za mawasiliano ya sauti katika kipindi cha siku nne."

English

he said the move was to protect the country's communication sector, adding that a study showed that "100,000 people in bahrain had used voip applications in four days."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

ushahidi uliotanda kote umeonyesha kwamba sars-cov, mers-cov na sars-cov-2 vina chimbuko kutoka kwa popo na vinasambazwa kwa binadamu kupitia wabebaji wa kati.

English

pervasive evidence has shown that sars-cov, mers-cov and sars-cov-2 have a bat origin and are transmitted to humans via intermediate hosts.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nitazaxonide imependekezwa kwa utafiti zaidi wa vivo baada ya kuonyesha uzuizi wa kiwango cha chini cha ukolezo wa sars-cov-2. utafiti umeonyesha kwamba ongezeko la maandalizi ya protini kwa kutumia transmembrane protease serine 2 (tmprss2) ni muhimu kwa uingiaji wa sars-cpv-2 kupitia mtagusano na vipokezi vya ace2.

English

nitazoxanide has been recommended for further in vivo study after demonstrating low concentration inhibition of sars-cov-2.studies have demonstrated that initial spike protein priming by transmembrane protease serine 2 (tmprss2) is essential for entry of sars-cov-2 via interaction with the ace2 receptor.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,800,518,060 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK