Results for umwagaji translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

umwagaji

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

morsi anatoa wito wa kuepusha umwagaji wa damu:

English

morsi also calls for avoiding bloodshed:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maandamano na umwagaji damu ulisababisha kung'oka kwa rais anayetuhumiwa kuwa fisadi.

English

protests and bloodshed led to the fall of a corrupt president.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jana ilikuwa ni miongoni mwa siku nyingi za umwagaji damu kwa mji mkuu wa balochistan ambao ni, quetta.

English

yesterday was one of many blood-soaked days for balochistan’s capital, quetta.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

serikali ya pamoja ilianzishwa kufuatia uchaguzi uliopita wa mwaka 2008 ulisemekana kuvurugwa mno na kusababisha umwagaji wa damu.

English

the coalition was formed following the last disputed and bloody elections in 2008.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

milipuko hiyo ya mabomu iliweka kumbukumbu ya miongoni mwa siku mbaya ya umwagaji damu katika historia ya jimbo la kusini magharibi la balochistan.

English

the bombings marked one of the goriest days in the history of pakistan's southwestern province balochistan.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nikahang, ambaye ni mchora katuni anayeongoza na pia mwanablogu, alichukulia kwamba khatami alikuwa amepuuza umwagaji damu uliotokea mwaka 2009 kufuatia maandamano dhidi ya utawala ulio madarakani.

English

nikahang, a leading cartoonist and blogger, considers that khatami ignored the blood shed during the 2009 protest against regime.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kituo cha cdc bado kinataja kwamba "sabuni ya maji isiyodhibitiwa kwa mikono katika umwagaji wake hupendekezwa".

English

the cdc still states "liquid soap with hands-free controls for dispensing is preferable".

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

siyo kwamba maandamano hayo yalikosa umwagaji damu - la hasha - mpaka sasa tukio hilo la maandamano makubwa la hivi karibuni limeacha takribani watu 74 wakiwa wamekufa na zaidi ya 500 wakiwa majeruhi - hii ni tofauti na mapinduzi yaliyopita yaliyopachikwa jina la "tulip revolution" ya mwaka 2005.

English

the riots have not been bloodless - the recent unrest has so far left almost 74 people dead and more than 500 wounded - unlike a previous peaceful "tulip revolution" in 2005.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,736,260,644 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK