From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
usajili unahitajika (tazama hapa chini kwa taaarifa zaidi).
registration is required (see below for more information).
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa barua hii tunakujulishwa kuwa unahitajika kuhudhuria kikao cha nidhamu mnamo tarehe 12 junk 2019 siku ya jumatano
relevant to the headline above
Last Update: 2020-02-13
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa kawaida hii haipitishwi kutoka kwa mama kwenda kwa kijusi kwa hivyo uchunguzi zaidi unahitajika kujua ikiwa virusi hivyo vilipitia kwenye kondo au ikiwa kondo ya wanawake kwenye utafiti ilikuwa imeharibiwa au isiyo ya kawaida.
this is not usually passed from mother to fetus so further research is required to know whether the virus crossed the placenta or whether placentas of women in the study were damaged or abnormal.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kuchukuliwa kama mwanablogu mgeni katika afkinsider unahitajika tu kuwasilisha blogu yako au hadithi kutoka blogu yako kwa mapitio na jopo letu la wahariri kupitia anwani ya barua pepe info@afkinsider.com.
to be considered as a guest blogger at afkinsider one has to simply submit your blog or stories from your blog for review by our panel editors through info@afkinsider.com.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hupunguza kosa la "kutotendewa haki" ambalo ni kawaida hatua ya kwanza katika kesi ya matumizi mabaya; upatanishi unahitajika katika kesi za unyanyasaji dhidi ya wanawake.
eliminates the "unfair treatment" offense that is usually the first step in cases of abuse; mediation is suggested in cases of violence against women.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
mwanablogu claudio silva anaandika kwenye makala yake africa ni nchi kwamba mtazamo wa kina juu ya vurugu zinazofadhiliwa na serikali (kufukuzwa watu mijini na kupigwa kwa waandamanaji) unahitajika ili kuelewa video mbili zilizosambaa sana mtandaoni na kuleta sintofahamu kubwa nchini (tazama habari maalumu za global voices).
blogger claudio silva argues on africa is a country that a deeper look at state-sponsored violence (urban evictions and crackdowns on protest) is needed to put into perspective two viral videos that recently shocked the country (see global voices coverage).
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: