Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
hivi karibuni, aliwaongoza wanafunzi katika kuimba wimbo wa zamani wa kupinga ubaguzi wa rangi unaoitwa ua kaburu.
recently, malema led students in singing an old anti-apartheid struggle song called kill the boer.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa taarifa zaidi, uninorte amezindua mpango unaoitwa sayansi inayofikika, kutufanya tujisikie sehemu ya jamii ya kisayansi.
for further information, uninorte has launched a program called science within reach, to make us feel part of the scientific community.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
vikundi vya jamii za kiraia viliziunga mkono jamii katika majadiliano yao na maofisa wa mbuga kwa kupitia mradi unaoitwa lhuvuka, lakini inaonekana kuwa hapakutokea maendeleo yoyote kati yao na procana.
civil society groups supported the communities in their negotiations with park officials through a project called lhuvuka, but there appeared to be no progress with procana.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
julius malema wiki chache zilizopita alichochea chuki dhidi ya watu weupe wa afrika ya kusini na makaburu kwa kuimba wimbo unaoitwa “uwa kaburu.”
julius malema in the last few weeks incited hatred against white afrikaners and boers by insisting on singing the "kill the boer" song.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
pamekuwepo na aina mpya ya utalii unaoitwa "utalii wa kutoa mimba" kutoka katika nchi jirani ambapo sheria za kuzuia utoaji mimba zimekuwa kali zaidi sana, kama vile poland, na zimeandikwa.
“abortion tourism” from the neighboring countries where the laws are more restrictive, such as poland, has also been documented.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
hiyo ndiyo “bikira”: kipande kilichokunjwa cha plastiki cha sentimeta 5×7 – cha ute wa protini unaoitwa albumin, maelezo yalinisahihisha kwa haraka – kilichopakwa wino mwekundu kwenye upande mmoja.
such is the "hymen": a 5x7cm folded piece of plastic – of albumin, the notice promptly corrects me – covered on one side by dark red ink.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting