Results for unaweza kusema ni kama kwamba sis... translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

unaweza kusema ni kama kwamba sisi kama

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

ni kama kwamba wao siku watapo iona (hiyo saa) hawakukaa ila jioni moja tu, au mchana wake.

English

it shall be as if; on the day they see it, they have but tarried for an evening, or its forenoon.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

isiwe hivyo, ila tunaamini kwamba, sisi kama vile wao, tunaokolewa kwa njia ya neema ya bwana yesu."

English

but we believe that through the grace of the lord jesus christ we shall be saved, even as they.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

na anaye mshirikisha mwenyezi mungu ni kama kwamba ameporomoka kutoka mbinguni, kisha ndege wakamnyakua au upepo ukamtupa pahala mbali.

English

and whosoever associateth aught with allah, it is as though he had fallen from the heaven and the birds had snatched him, or the wind had blown him to a place remote.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa kumtakasikia imani mwenyezi mungu, bila ya kumshirikisha. na anaye mshirikisha mwenyezi mungu ni kama kwamba ameporomoka kutoka mbinguni, kisha ndege wakamnyakua au upepo ukamtupa pahala mbali.

English

being men pure of faith unto god, not associating with him anything; for whosoever associates with god anything, it is as though he has fallen from heaven and the birds snatch him away, or the wind sweeps him headlong into a place far away.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati kuna shuleni kesho watalii ni kuja mara ya mwisho walikwenda mimi nilikuwa juu ya kumi na kidogo kabisa i kelele kwa wiki mbili zijazo wao inaonekana katika sisi kama sisi ni wanyama wao kuja wao kuchukua (photos) wao kuondoka rahisi kama kwamba kwa kawaida wao hawana hata bye kitu chochote.

English

while there at school tomorrow the tourists are coming last time they came i was about ten and quite little i cried for the next two weeks they looked at us like we are animals they come they take(photos) they leave as simple as that normally they don't even bye anything.

Last Update: 2014-11-30
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hakika mfano wa maisha ya dunia ni kama maji tuliyo yateremsha kutoka mbinguni, kisha yakachanganyika na mimea ya ardhi wanayo ila watu na wanyama. mpaka ardhi ilipo kamilika uzuri wake, na ikapambika, na wenyewe wakadhani wamesha iweza, iliifikia amri yetu usiku au mchana, tukaifanya kama iliyo fyekwa - kama kwamba haikuwapo jana.

English

the example of [this] worldly life is but like rain which we have sent down from the sky that the plants of the earth absorb - [those] from which men and livestock eat - until, when the earth has taken on its adornment and is beautified and its people suppose that they have capability over it, there comes to it our command by night or by day, and we make it as a harvest, as if it had not flourished yesterday.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,748,645,134 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK