From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
ni kumbukumbu ya kipekee.
a wonderful soul.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
nakutakia kila la kheri katika siku yako ya kipekee
i wish you all the very best on your special day today
Last Update: 2023-12-05
Usage Frequency: 1
Quality:
al luthan siyo hoteli ya kipekee ikilinganishwa na hoteli nyingine duniani.
al luthan is not unique when compared to the rest of the world.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hii inaweza kuwa ni nafasi yako ya kipekee kabisa ya kung’ara!
this might be the only time in your life to shine!
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
katika hatua ya kipekee, maandamano haya yaliratibiwa kupitia mtandao wa twita.
in a unique step, this demonstration was organized through twitter.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
idadi ya protini ya ziada na kazi yao ni ya kipekee kulingana na virusi maalum vya korona.
the number of accessory proteins and their function is unique depending on the specific coronavirus.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
george roberts aliweka picha inayoonesha namna ya kipekee ya chadema ya kujitambulisha kwa wapiga kura:
on a lighter note, george roberts shared a photo showing chadema’s unique choice of space for publicity:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kazi ya blinky ni ya kipekee, anasema hivi kwa kuwa, "kazi yake inaweza kuonekana ukutani au kwenye luva.
blinky's work is special, he says, because, "you could see it on a wall or you could see it in the louvre.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
www.ipaidabribe.or.ke ni njia ya kipekee kutoka wamani trust ya kupigana na ufisadi kwa kupitia nguvu za wananchi.
www.ipaidabribe.or.ke is wamani trust's unique initiative to tackle corruption by harnessing the collective energy of citizens.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
edom amejihusisha na uandishi wa habari ambao pamoja na kuwa uliambatana na kupuuzwa kwa uanaharakati wake, uanahabari wake umekuwa wa kukumbukwa na wa aina yake ya kipekee.
edom has done journalism along with her understated activism with a remarkable elegance.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
wakati wa kuwasili kwake, obama alikaribishwa vizuri na kwa aina ya kipekee kabisa kama jinsi mwanablogu mpiga picha issa michuzi alivyoweza kunasa picha ya hali ilivyokuwa katika uwanja wa kimaifa wa ndege wa julius nyerere:
and upon landing, obama received an especially warm reception, as photo-blogger issa michuzi was able to capture in this photograph the mood at julius nyerere international airport:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
wafalme watatu walikuja na kuondoka, lakini siyo kabla ya kupita katika jiji la new york ili kusherehekea na mamia ya watoto waliojitokeza kwa ajili ya gwaride lililoandaliwa na museo del barrio siku ya tarehe 4 januari, ijumaa ya kipekee yenye jua kali katika mwezi huu.
the three kings came and went, but not before passing through new york city to celebrate with hundreds of children that came out for the parade organized by the museo del barrio on january 4, an atypically sunny friday for the month.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kati ya vivutio vya mkutano huo kitakuwa ni kutangazwa kwa washindi wa tuzo ya kuvunja mipaka, tuzo mpya iliyoundwa na google pamoja na global voices ili kuenzi miradi ya kipekee katika wavuti iliyoanzishwa na watu au vikundi vinavyoonyesha ujasiri, ari na uwezo wa kutumia intaneti ili kukuza uhuru wa kujieleza.
among the highlights of the proceedings will be the announcement of the winners of the breaking borders award, a new prize created by google and global voices to honor outstanding web projects initiated by individuals or groups demonstrating courage, energy and resourcefulness in using the internet to promote freedom of expression.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
shukrani za kipekee pia ziwaendee doris isubal-mongaya na timu yake ya prworks kwa kutumia maarifa na ujuzi wao wa hali ya juu uliofanya maisha yetu ya cebu, kwa namna kadha wa kadha, kuwa ya kipekee sana-pia tunashukuru sana kwa zawadi ya video iliyochukuliwa kutokea angani.
and to doris isubal-mongaya and her team at prworks for their extraordinary organisational skills and expert touches that made our time in cebu special in so many ways—and for the gift of the drone video.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tumsifu yesu kristu.. naomba nichukue nafasi ya kipekee kwetu sisi wote kama familia kuweza kumshukuru ndugu yetu katika imani mr amal katika uwepo wake nasi wana jesus youth wa mtwara. tuna mengi tumejifunza lakini pia mengi zaidi amejifunza toka kwetu kwahiyo tuweze kumuombea kesho anapoanza safari yake kurudi nyumbani basi iwe na baraka na neema kwani kwa utume wake hatuna cha kumlipa lakini zaidi malipo yetu ni kusema asante sana we'll miss you brother and have a safe journey. tumsifu yesu kristu
praise jesus christ forever amen.
Last Update: 2024-03-01
Usage Frequency: 2
Quality: