From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
gerard henderson, india, uranium, uhalifu wa mitaani, na makala chafu
gerard henderson, india, uranium, street crime, and a particularly grubby column
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
wizara imesema kuwa mgodi wa uranium ni mgodi shimo lililo wazi na halina kazi za chini ya ardhi kwa hiyo hauna uhusiano na matetemeko ya ardhi.
the ministry says that the uranium mine is an open pit and has no underground activities hence has no connection to the earthquakes.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
lalamiko kuu la india lilizungukia katika uamuzi wa serikali ya rudd kukataa kuiuzia india madini ya uranium, uamuzi ambao uliipindua nia ya john howard pamoja na mawaziri wake.
india's prime gripe turned on the refusal of the rudd government's to sell uranium to india, which overturned the intention of john howard and his senior ministers.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
je ni mimi, au ni uchafuzi wa aina ya ajabu kuunganisha kupigwa na kuuwawa kwa wahindi nchini australia na sera za sasa kuhusiana na uuzaji wa madini ya uranium kwa india?
is it just me, or is it just grubbiness of an arcane kind to link the assault and murder of indians in australia to australia's current policies in relation to the sale of uranium to india?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tangu rais wa malawi bingu wa mutharika aliposema rasmi kuwa karonga ni sehemu ya janga la kitaifa, rai za kuwasaidia waliathirika zimekuwa zikimiminika ili kuwasaidia watu katika wilaya hii ya migodi ya madini ya uranium.
since malawi's president bingu wa mutharika declared karonga as a national disaster area, appeals for help to the victims have been pouring to help the people in the uranium mining district.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
siku ya tarehe 12 julai, 2013, mamia kadhaa ya wakazi wa jiangmen, jiji lililo jirani na guangzhou ya kusini nchini china, walifurika mtaani kuandamana kupinga mpango wa kuanzisha mtambo wa kuchakata uranium .
several hundred residents in jiangmen, a city near china’s southern guangzhou, took to the street to protest against a planned uranium processing plant on july 12, 2013.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
akiandika katika tovuti ya registan.net, alexander visotsky anaangalia mashtaka ya rushwa dhidi ya mukhtar dzhakishev yaliyotokana na uuzaji wa madini ya uranium kinyume cha sheria na kuhitimisha, “vita dhini ya rushwa nchini kazakhstan ni mchezo wa kisiasa zaidi ya jitihada za kuing’oa rushwa.”
writing in registan.net, alexander visotzky looks at the corruption charges against mukhtar dzhakishev for the illegal sale of uranium and concludes, "the fight against corruption in kazakhstan is apparently much more of a political game than an attempt to root out corruption."
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting