Results for uroho wa madaraka translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

uroho wa madaraka

English

power addiction

Last Update: 2019-11-17
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

uchu wa madaraka

English

the power of power

Last Update: 2020-06-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ninakiri kwamba ninahoji pia wale wenye uchu wa madaraka na sifa binafsi.

English

i admit that i am also questioning who is hankering for power and prestige

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

je, mgogoro huu ni ugombezi wa madaraka kati ya makabila wawili, wadinka na wanuer?

English

is the crisis a power struggle between two ethnic groups, the dinka and the nuer?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

watawala wengine wa afrika walijaribu kubadili masharti yaliyoweka ukomo wa madaraka kwenye katiba ili waendelee kutawala na wakashindwa.

English

several african leaders tried but failed to change the term limit provision of their constitution so that they could run again.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mfumo wa vizingiti na mizani unaofanya kazi sawa pamoja na miundo fanisi ya utanganishaji wa madaraka ni masuala kadhaa ambayo yanahitaji kutazamwa kwa makini na tume hii.

English

functional checks and balances as well as workable forms of separation of powers were other issues that needed serious consideration by the commission.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mwaka 2008, bunge la cameroon liliondoa ukomo wa madaraka (ambao ni miaka saba kwa muhula) kwa ajili ya paul biya.

English

in 2008, cameroon’s parliament eliminated the two-term (seven years per term) limit for paul biya.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kuna frederick chiluba wa zambia, bakili muluzi wa malawi na olusegun obasanjo wa naijeria ambao hatimaye ilibidi kukubaliana na matakwa ya mfumo wa kisiasa yanayodai kuwepo kwa ukomo wa madaraka.

English

zambia’s frederick chiluba, malawi’s bakili muluzi and nigeria’s olusegun obasanjo ultimately bowed to the will of the political system and accepted term limits.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

jaribio la pierre nkurunziza rais wa burundi kujiongezea muhula mwingine wa madaraka lilisababisha maandamano na baadae mapinduzi ya kijeshi mnamo mei 13, 2015 wakati akiwa kwenye mkutano wa jumuiya ya afrika mashariki nchini tanzania.

English

burundian president pierre nkurunziza's attempt to extend his two-term limit led to mass protests and later an unsuccessful military coup on may 13, 2015 while he was on a regional meeting in tanzania.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

na kama ukiingiza na nchi ambazo zimewahi kuwa na zaidi ya tukio moja la marais waliolazimishwa na katiba kuachia madaraka na wakafanya hivyo, hali inaonekana kuwa nzuri kwa kuwa na ukomo wa madaraka katika eneo la kusini mwa jangwa la sahara.

English

and if you factor in the countries that have had more than one episode of term-limited presidents stepping down, suddenly the odds look pretty good for the consolidation of the norm of term limits in sub saharan africa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

juhudi zinazoendelea za kuondoa ukomo wa madaraka zinaonesha tofauti kubwa kati ya matakwa ya watawala wa afrika dhidi ya matakwa ya wananchi wanaowongoza, hali inayoonesha kuendelea kuwepo kwa hulka ya udikteta barani humo na hivyo kuonesha dalili mbaya kwa demokrasia ya afrika.

English

continuing efforts to dispense with term limits thus reveal a major disconnect between african leaders and african citizens on this issue, underlining the lingering legacy of big-man rule on the continent and highlighting the fragility of african democracies.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

matukio nchini burundi na nchi nyingine kama kongo (drc), burkina faso, na rwanda zimeendeleza mijadala inayoendelea miongoni mwa wa-afrika kuhusu ukomo wa madaraka.

English

the events in burundi and in other countries such as the democratic republic of congo, burkina faso, and rwanda have sustained a growing debate among africans about term limits.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

watawala wa sasa au wa hivi karibuni nchini burkina faso, chad, gabon, guinea, namibia, togo, uganda na aljeria ni miongoni mwa wale walifanikiwa kuondoa ukomo wa madaraka ili kuwawezesha kuendelea kuwa madarakani.

English

current or recent leaders in burkina faso, chad, gabon, guinea, namibia, togo, uganda and algeria are among those who successfully changed term limit requirements in order to prolong their time in office.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hiki ndicho kinachotokea pale ambapo raia na taasisi za kiraia zinapokwa dhaifu mno, zinazoogopa sana, na zenye “maneno matupu,” katika kulinda uhuru wao kutoka kwa wanyakuaji wa madaraka wanaoitwa viongozi.

English

this is what happens when civilian and civil institutions are too weak, too cowardly, too much "talk-talk-only," to defend their own freedom from usurping so-called leaders.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

pamoja na hayo, vuguvugu zote mbili ziliunganika kuwa upinzani mkubwa zaidi kuwahi kufanywa kupitia ulimwengu wa blogu dhidi ya kile wengi walichokiita "pig", kifupi cha chama cha unyang’anyi wa madaraka kwa kupitia vyombo vya habari, ambalo ni neno lililoundwa ili kuelezea vyombo vya habari vya brazili vinavyochapisha habari zenye kuelemea upande mmoja ili kutetea maslahi ya kisiasa.

English

nevertheless, both movements converged as a larger protest organized through the blogosphere against what many call "pig", an acronym for the coupist press party a term coined to describe the biased brazilian media that serves political interests.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,745,834,126 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK