MyMemory, World's Largest Translation Memory
Click to expand

Language pair: Click to swap content  Subject   
Ask Google

You searched for: ushuhuda ( Swahili - English )

    [ Turn off colors ]

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

ushuhuda

English

testimony

Last Update: 2013-01-05
Subject: Religion
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Jambo la kushangaza zaidi, ushuhuda wa Zhong Biao na Wei Xing, kama ulivyonukuliwa kwenye barua hiyo, uliandaliwa maalumu kwa ajili ya mdahalo huu lakini umenukuliwa kama kwamba watu hao wawili ni wasomi wanaofahamika vema sana na umma.

English

Interestingly, the two accounts of Zhong Biao and Wei Xing, quoted in the letter, were set up for the purpose of this debate but quoted as if the two individuals were well-known public intellectuals.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Katika blogu inayoitwa World is Witness, Abramovitz anasimulia ushuhuda wa aliyenusurika kwenye mauaji ya kimbari aliyeitwa Venuste, ambapo ushuhuda wake uliigusa mno hadhira iliyokuwepo wakati wa maadhimisho hayo:

English

In the blog World is Witness, Abramovitz recounts the testimony of a genocide survivor called Venuste that moved the audience with his story during the ceremony:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kwa upande mwingine, James Chikonamombe, raia wa Zimbabwe anayeishi Amerika, anayaona mashambulizi haya kama ushuhuda wa kushindwa kwa dhana ya umajumui wa Afrika (falsafa ya kisiasa inayosisitiza mshikamano miongoni mwa Wafrikaa):

English

Meanwhile, James Chikonamombe, a Zimbabwean national based in the US, saw the attacks as evidence of the failure of Pan Africanism (a political philosophy that promotes solidarity among Africans):

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mwaka 2007, alitoa ushuhuda wake kama askari mtoto mbele ya Umoja wa Mataifa.

English

In 2007, she testified at the UN to share her experiences as a child soldier.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mwanablogu huyo ameweka ushuhuda wake kwa lugha ya kiingereza kwenye makala hii iliyo katika blogu inayokusanya matukio nchini Misri iitwayo Egyptian Chronicles.

English

She shares her testimony, in English, in this post on Egyptian Chronicles.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Taarifa hii ilitolewa katika mtandao wa Koaci.com na msichana mmoja wa Cameroon kutokana na ushuhuda alioutoa dada yake ambaye ni jirani wa msichana aliyefariki.

English

This was reported to Koaci.com by a young Cameroonian woman, after the revelations by her sister, who is a neighbor of the victim.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Taarifa hizi fupi zilizokusanywa na Southern Tagalog Exposure yatoa ushuhuda kuhusiana na utoaji wa mafunzo ya kijaeshi kwa jamii ya wazawa pamoja na uporaji wa ardhi za urithi za wazawa.

English

These brief statements gathered by Southern Tagalog Exposure bear witness to the intense militarization of indigenous communities and plunder of their ancestral lands.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Ushahidi ilikusanya taarifa za ushuhuda wa kuona za mapigano na kuziweka kwenye ramani.

English

Ushahidi collected eyewitness reports of violence placed them on a map.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Ushuhuda na picha za kutisha pia ni vitu ambavyo vimekuwa vikimiminika kutoka kwenye tovuti ya wanawezaje kusikia (how can they hear):

English

Heart wrenching testimonies and photographs were also coming from how can they hear:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Video ambayo Serikali ya Colombia Haitaki Tuone yaonyesha fujo inayotumiwa dhidi ya jamii mbili zilizoko ukingoni wa mto, ambazo zimetumia njia za amani kupinga kujengwa kwa bwawa hilo. Video hiyo pia inakusanya maoni na ushuhuda ya waliokumbana na vurugu hizo, pamoja na waliojeruhiwa.

English

The Video the Colombian Government Doesn't Want Us to See shows the violent eviction faced by two river bank communities standing up peacefully against the building of the dam, and pulls together the testimonies of those who faced the violence and were injured.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kisha Mwanakondoo akavunja mhuri wa tano. Nikaona pale chini ya madhabahu ya kufukizia ubani roho za wale waliouawa kwa sababu ya ujumbe wa Mungu, na kwa sababu ya ushuhuda waliotoa.

English

And when he had opened the fifth seal, I saw under the altar the souls of them that were slain for the word of God, and for the testimony which they held:

Last Update: 2012-05-06
Subject: Religion
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Baada ya Petro na Yohane kutoa ushuhuda wao na kuutangaza ujumbe wa Bwana, walirudi Yerusalemu. Walipokuwa wanarudi walihubiri Habari Njema katika vijiji vingi vya Samaria.

English

And they, when they had testified and preached the word of the Lord, returned to Jerusalem, and preached the gospel in many villages of the Samaritans.

Last Update: 2012-05-06
Subject: Religion
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Ila, kabla ya mwisho kufika, hii Habari Njema ya Ufalme wa Mungu itahubiriwa ulimwenguni kote kama ushuhuda kwa mataifa yote.

English

And this gospel of the kingdom shall be preached in all the world for a witness unto all nations; and then shall the end come.

Last Update: 2012-05-06
Subject: Religion
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Lakini Mungu alinisaidia; na hivyo mpaka siku ya leo nimesimama imara nikitoa ushuhuda kwa wote, wakubwa na wadogo. Ninayosema ni yale ambayo manabii na Mose walisema yatatukia;

English

Having therefore obtained help of God, I continue unto this day, witnessing both to small and great, saying none other things than those which the prophets and Moses did say should come:

Last Update: 2012-05-06
Subject: Religion
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Nilimwona Bwana akiniambia: Haraka! Ondoka Yerusalemu upesi kwa maana watu wa hapa binadamu hawataukubali ushuhuda wako juu yangu.

English

And saw him saying unto me, Make haste, and get thee quickly out of Jerusalem: for they will not receive thy testimony concerning me.

Last Update: 2012-05-06
Subject: Religion
Usage Frequency: 1
Quality:

Add a translation

Search human translated sentencesUsers are now asking for help:spearmint leaves (English>Telugu) | pensioen kloof (Dutch>French) | aww thank you little sister (English>Italian) | google translite inggris indonesia (Indonesian>English) | na muchana (Swahili>English) | chiku ne en (Gujarati>English) | optimisation des configurations existantes (French>English) | globalization (English>Greek) | scusa il disturbo (Italian>English) | gujarati essay about soldier (English>Gujarati) | shukol kalas (Arabic>English) | marathi essay on havamanatil badal (English>Hindi) | bitte 1 tagesvorstellung (German>Italian) | diperkosa (Indonesian>English) | pada (Tagalog>English)


Report Abuse  | About MyMemory   | Contact Us


MyMemory in your language: English  | ItalianoEspañolFrançaisDeutschPortuguêsNederlandsSvenskaРусский日本語汉语한국어Türkçe

We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK