Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
utamaliza waganga
when you finish school?
Last Update: 2013-05-20
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nitafanyakazi kwa moyo wote na kusaidia mwajiri kutoa huduma bora siku zote
i have been working hard and helping my employer to provide the best service all day long.
Last Update: 2023-02-16
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
unapoamua kumpenda mtu,mpende kwa moyo wako wote na kwa akili zako zote
when you decide to love someone, love it with all your heart and with all your mind
Last Update: 2018-03-20
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hii ni bayana kwa watu wote, na ni uwongofu, na mawaidha kwa wachamngu.
here is a plain statement to men, a guidance and instruction to those who fear allah!
Last Update: 2024-04-14
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hofu ikawaingia jirani wote, na habari hizo zikaenea kila mahali katika milima ya yudea.
and fear came on all that dwelt round about them: and all these sayings were noised abroad throughout all the hill country of judaea.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kulipopambazuka, makuhani wakuu wote na wazee wa watu walifanya mashauri juu ya yesu wapate kumwua.
when the morning was come, all the chief priests and elders of the people took counsel against jesus to put him to death:
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hizi ni dalili zilizo wazi kwa watu wote, na ni uwongofu, na rehema kwa watu wanao yakinisha.
these are clear evidences to men and a guidance and mercy to those of assured faith.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
waliposikia hayo watu wote na watoza ushuru waliusifu wema wa mungu; hao ndio wale waliokuwa wameupokea ubatizo wa yohane.
and all the people that heard him, and the publicans, justified god, being baptized with the baptism of john.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
amekuwa ni kipenzi cha india, amekwezwa na kupendwa na wahindi wote na kutangazwa na vyombo vya habari vya india na ulimwengu wote.
she became a darling of india, pampered and loved by all indians and projected by indian and world media.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
dhamana imelipwa na tumemaliza urasimu wote na mwendesha mashitaka wa serikali na kituo cha pilisi na ahmed abdelrahman ameshuka kwenye gari la polisi na amekuwa kwenye kituo cha polisi kwa muda mrefu.
the bails have been paid and we have completed the formalities with the public prosecution and the police station and ahmed abdelrahman has left the police car and has been in the police station for a long period of time.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
tunatarajia mahusiano zaidi katika siku zijazo. kwa niaba ya usimamizi wa knh, timu ya newsline ingependa kuwashukuru wafadhili wote na watakia mema na kuwatakia krismasi ya merry na mwaka mpya wenye furaha
we look forward to more relationships in the future. on behalf of the knh management, the newsline team would like to thank all the donors and well wishers and wish them a merry christmas and happy new year
Last Update: 2021-12-26
Usage Frequency: 2
Quality:
Reference:
lakini isiwe hivyo kati yenu; bali, yule aliye mkuu kati yenu ni lazima awe mdogo wa wote, na aliye kiongozi lazima awe kama mtumishi.
but ye shall not be so: but he that is greatest among you, let him be as the younger; and he that is chief, as he that doth serve.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
lugha ya ki-dhivehi ni ya muhimu sana kwa utambuzi wa watu wa maldive kama watu na pia kama nchi, kwa sababu hilo ndilo jambo pekee tunaloshiriki wote na ambalo ni wengine wachache tu wanalo.
dhivehi language is absolutely vital to the identity of maldivians as a people and maldives as a country, because it is the only feature we all share and which few others have.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa sababu ya hayo tuliwaandikia wana wa israili ya kwamba aliye muuwa mtu bila ya yeye kuuwa, au kufanya uchafuzi katika nchi, basi ni kama amewauwa watu wote. na mwenye kumuokoa mtu na mauti ni kama amewaokoa watu wote.
because of that we ordained for the children of israel that if anyone killed a person not in retaliation of murder, or (and) to spread mischief in the land - it would be as if he killed all mankind, and if anyone saved a life, it would be as if he saved the life of all mankind.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mikakati ya kulinda watu wote na hasa wale walio na hali sugu za afya, ikiwa ni pamoja na kukaa mbali ya watu na kuosha mikono, inapaswa kutekelezwa na jumuiya zote na watu wote ili kusaidia kupunguza kuenea kwa covid-19.
strategies to protect all persons and especially those with underlying health conditions, including social distancing and handwashing, should be implemented by all communities and all persons to help slow the spread of covid-19.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
1) ili kuhifadhi afya na usalama wa umma, na kuhakikisha mfumo wa kuwasilisha huduma ya agfya ya kuwahudumia wote, na kuwapa kipaumbele walio walio katika hatari kubwa na wanaoweza kuathirika, wakazi wote wanaelekezwa kufuata mara moja maelekezo ya sasa ya jimbo kuhusu afya ya umma, ambayo niliamuru idara ya afya umma kutengeneza kwa hali ya sasa ya kitaifa ya covid-19.
1) to preserve the public health and safety, and to ensure the healthcare delivery system is capable of serving all, and prioritizing those at the highest risk and vulnerability, all residents are directed to immediately heed the current state public health directives, which i ordered the department of public health to develop for the current statewide status of covid-19.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: