From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
utashi wa kisiasa ni ufunguo wa kupambana na ufisadi.
political will is key to fighting corruption.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mfumo wa sheria wa nchi hii umeonyesha kwamba unaweza kufanya kazi ikiwa pana utashi wa kisiasa.
the country's justice system has shown that it can work if there is political will.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa kweli, wana utashi huru wa ama kujadidisha mkataba wao wa ndoa au kuitupa hiyo karatasi baada ya miaka 10.
in fact, they have the free will to either renew their marriage contracts or just junk the paper after 10 years.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ninaanza kuichukia sana serikali yangu, inaonesha hofu kubwa sana, mantiki ya kitoto na utashi unaostusha wa kutumia nguvu.
i'm starting to dislike my government very much, it shows so much fear, infantile logic and an alarming willingness to resort to violence.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa mfano kama ungekuwa na mapenzi na sekta ya sayansi, kura yako ungempa mgombea wa nafasi ya kisiasa mwenye utashi wa kufadhili sayansi.
if you loved science, you’d vote based on candidates who want to increase funding for it.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
baadhi ya watu walianza kuwa na wasiwasi na utashi wa kisiasa wa rais sata katika kuleta katiba mpya pale alinukuliwa akisema, nchi hii haikuhitaji katiba mpya kabisa bali mabadiliko ya hapa na pale.
some started to cast doubt on sata’s commitment to enacting a new constitution when he said that the country did not need a fresh document altogether but only amendments to certain clauses.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
je, hii ni kuonyesha uwezo wa mtandao kuwajulisha na kuwafanya mamilioni washiriki; na alama ya matumaini kwamba kuna utashi miongoni mwa mamilioni hao, na kwa shauku kabisa kujihusisha na kitu chenye maana kubwa?
is this a demonstration of the internet's ability to instantly inform and engage tens of millions; and a hopeful sign that there is a willingness among those millions, to engage passionately with something more meaningful?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hiki kielelezo cha furaha (pdf) hakitokani na maswali huru yaliyoulizwa, bali kimetokana na "utashi uliogunduliwa," kwa kutumia uhamaji kama kigezo; yaani, kile watu wanachokifanya, na sicho kile wanachokisema.
this happiness index (pdf) is based not on subjective questions, but on "revealed preferences," using migration as a standard; that is, what people do, not what they say.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting