From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
madagaska: wajadili uhalali wa uwekezaji wa kigeni wa moja kwa moja
madagascar: debating the worth of foreign direct investment · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kufahamika kwa vitendo vya shirika la usalama wa taifa marekani, nsa vinaondoa uhalali wa marekani kujaribu kudai vinginevyo.
the nsa spying revelations unquestionably undercut the us government’s legitimacy in arguing to the contrary.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
maofisa wa ikulu pia walikataa kufanunua itifaki na uhalali wa waziri huyo wa zamani kuwa karibu sana na rais katika dhifa za kitaifa.
state house officials also refused to explain the protocol and justify the former minister's closeness to the president at the state functions.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
@figure007 alidhani kuwa mugabe alisema ukweli, ingawa hana uhalali wa kimaadili:
@figure007 felt that although mugabe said the truth, he has no moral justification:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
nimesoma kile alichokisema mugabe kuhusu naijeria, ingawa alisema ukweli, lakini hana uhalali wa kimaadili kusema hayo kama rais aliye madarakani
just read what robert mugabe said about nigeria,though he said d truth,but he has no moral justification 2 say it as a sitting president — abiodun olumide (@figure007) april 12, 2014
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
vurugu hizi zinakusudiwa kuzalisha uaminifu, hofu na uhalali wa wenye uwezo kwenye mioyo ya wakaazi wa eneo fulani ama ya watu wa kabila fulani.
this violence is designed to generate loyalty, fear and legitimacy within a region or an ethnic group vis-à-vis those in power.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tuchukulie kuwa ndoa itakwisha muda wake baada ya miaka kumi, ni nini kitachotokea kwenye uhusiano wa mali baada ya miaka 10? uhalali wa mikataba ambayo wanandoa waliingia pamoja?
supposing that marriage will expire in ten years, what will happen to the property relations after 10 years? the validity of contracts entered into by the spouses jointly?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
japo inaweza kuwa haina uhusiano, ukweli kwamba imetokea wakati nchi ikihangaika na mdahalo wa uhalali wa wimbo wa “uwa kaburu” utauweka mdahalo huo katiaka hali ngumu zaidi.
and although it is probably unrelated, the fact that it happened while the country debates the appropriateness of struggle songs like “kill the boer” is going to put the whole debate in stark relief.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
uhalali wa uwekezaji huu wa kigeni uliingia kwenye sura mpya wakati mkataba wa kuuza ardhi uliokuwa ufanywe na mwekezaji wa kikorea aitwaye daewoo ulipopata upinzani mkubwa na kwa sehemu kubwa kuchochea mgogoro uliopo.
the worth of foreign investment came into sharp contrast when a land deal with korean investor daewoo came under criticism and partly triggered the current crisis.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hii ni licha ya nchi tofauti kuwa katika viwango tofauti, tofauti katika jinsi kila afya ya umma inavyokabiliana na uwezekano wa ufafanuzi tofauti wa visa katika nchi na taratibu tofauti za kuchagua wagonjwa ambao ni lazima wapimwe kwa uthibitishaji wa covid-19, ikiwa ni pamoja na upimaji wa watu.
this is despite countries being at different stages, variations in national public health responses, and possibly different case definitions in countries and different protocols for selecting patients that must be tested for confirmation of covid-19, including catch-up testing.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
majibu ya nchi hiyo kwa ripoti hiyo yalikuwa makali: "uingereza haina uhalali wa kimaadili kufundisha maadili ya haki na demokrasia kwa nchi yoyote iliwahi kuwa koloni lake barani afrika".
the country's response to the report was sharp: "britain has no moral authority to dictate moral standards of rectitude and democracy to any former colony in africa”.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kwa mfano, katika kesi ya vita kati ya uingereza na argentina kuhusu visiwa vya falkland, kura ya maoni iliofanywa kuhusu idadi ya watu, ambapo 98% ya idadi walipiga kura kwa ajili ya kuwa chini ya utawala wa uingereza, waliungwa mkono, wakati katika crimea, hakuna wasia wa kukubali uhalali wa mchakato.
for instance, in the case of the conflict between great britain and argentina regarding falkland islands, a referendum carried out on the population, where 98% of the population voted for staying under great britain's administration, received support, while in crimea, there is no will for acknowleding the legality of the process.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.