From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
utumwa
slavery
Last Update: 2022-01-10
Usage Frequency: 20
Quality:
Reference:
kinyume cha utumwa
the opposite of slavery
Last Update: 2024-10-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kinyume cha neno utumwa
the opposite of the word freedom
Last Update: 2022-02-27
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
utumwa ni historia iliyopita.
slavery belongs to our painful past.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kiitwe miaka 15 ya utumwa
he wrote again:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
utumwa ulishasitishwa miaka mingi iliyopita.
slavery has been abolished long ago.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
cambodia: tuzo yamuenzi aliyenusurika na utumwa wa ngono
cambodia: award honors sex slavery survivor · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mlikombolewa kutoka utumwa wa dhambi, mkawa watumwa wa uadilifu.
being then made free from sin, ye became the servants of righteousness.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ni kwa vipi mambo yote haya hayatamfanya kuwa lolote bali mbarikiwa wa utumwa?
how does all of this not make her anything but a glorified servant?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
na watakao ona uvunjifu utumwa wa mwenyezi mungu na kufanya kiburi, basi atawakusanya wote kwake.
and those who disdain to serve him and are proud (should remember) that they will all go back to him in the end.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
miaka 300 ya historia ya utumwa wa mtu mweusi nchini brazili imeacha athari kubwa ndani ya nchi hiyo.
300-year history of negro enslavement in brazil has made an impact on this country.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
maana hivyo viumbe navyo vitaokolewa kutoka katika utumwa wa uharibifu, vishiriki uhuru mtukufu wa watoto wa mungu.
because the creature itself also shall be delivered from the bondage of corruption into the glorious liberty of the children of god.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
alikombolewa wakati somaly mam, mwanaharakati wa kupinga utumwa na sura ya taasisi ya somaly mam, alipopanga uvamizi kwenye danguro alilokuwa akiishi vann.
she was freed when somaly mam, an anti-slavery activist and the face of the somaly mam foundation, organized a raid on vann's brothel.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
masihi hataona uvunjifu kuwa mtumwa wa mwenyezi mungu, wala malaika walio karibishwa. na watakao ona uvunjifu utumwa wa mwenyezi mungu na kufanya kiburi, basi atawakusanya wote kwake.
christ disdaineth nor to serve and worship allah, nor do the angels, those nearest (to allah): those who disdain his worship and are arrogant,-he will gather them all together unto himself to (answer).
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
lakini sasa, mmekwisha kombolewa kutoka utumwa wa dhambi na mmekuwa watumishi wa mungu; faida mliyo nayo sasa ni utakatifu, na matokeo yake ni uzima wa milele.
but now being made free from sin, and become servants to god, ye have your fruit unto holiness, and the end everlasting life.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
tuzo ya frederick douglass “huenzi uwezo wa kumudu wa roho ya binadamu na husisitiza kwamba wengi wa wanaonusurika utumwa wa ki-leo huendelea kuwasaidia na wengine kuwa huru”
the frederick douglass award "honors the tremendous resilience of the human spirit and emphasizes that many of the survivors of modern-day slavery go on to help others to freedom."
Last Update: 2023-11-14
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
wengine walimsihi mwakilishi huyo maalum asiwasahau wanawake na watoto ambao bado ni wahanga wa utumwa wa ngono nchini cambodia, kwa kuzingatia kwamba hilo ni lazima libaki kuwa kipaumbele cha haki za binadamu kwa sababu uvunjifu wa haki nyingine za binadamu, mfano uhuru wa kujieleza, unaendelea kushika kasi.
others urged the special rapporteur not to forget about the women and children who remain victims of sexual slavery in cambodia, noting that it must remain a human rights priority even as other human rights violations, such as freedom of expression, surface.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
#xenophobicsa: kama ilivyo kwa misri, afrika ya kusini "ipo" afrika lakini "imejitenga" na afrika.huu ni ukweli unaouma, shukrani kwa miaka 300 ya utumwa wa kifikra. — james chikonamombe (@zichivhu) april 15, 2015
#xenophobicsa: like egypt, safrica is "in" africa but not "off" africa.that's the sad reality, thanks to 300yrs of mental oppression. — james chikonamombe (@zichivhu) april 15, 2015
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting