Results for vibao translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kama inavyoelezwa na tom grundy, mpita njia aliwaita polisi na mwanamke huyo aliwekwa chini ya ulinzi kwa kumpiga vibao rafiki yake wa kiume aliyekuwa amepiga magoti mbele yake akimwomba msamaha kwa kumleta mwanamke mwingine nyumbani.

English

as explained by tom grundy, a pedestrian called the police and the woman was arrested for slapping her boyfriend who was kneeling down in front of her pleading for her forgiveness for bringing another woman home.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"msaada wa haraka uliendelea vizuri lakini serikali ingeweza kufanya vizuri zaidi kama wangeweka alama za maeneo yaliyofurika kwa kutumia minara ya mianzi au njia nyingine zenye vibao vinavyoeleza wazi vina vya maji.

English

“immediate relief was going on quite well but the government could have done better if they had marked all the flood sections of the roads with bamboo poles or other alternatives with clear signs to show how deep the flood level is.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

alitupatia vibao kama vile ‘pirates’, ‘long time’ pamoja na kibao cha kutisha ‘hot hot hot’.

English

he gave us hits such as 'pirates', 'long time' and the monster hit 'hot, hot, hot'.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

humo mlikuwa na madhabahu ya dhahabu kwa ajili ya kufukizia ubani, na sanduku la agano, ambalo lilikuwa limepakwa dhahabu pande zote, na ndani yake mlikuwa na chungu cha dhahabu kilichokuwa na mana; fimbo ya aroni iliyokuwa imechanua majani, na vile vibao viwili vilivyoandikwa agano.

English

which had the golden censer, and the ark of the covenant overlaid round about with gold, wherein was the golden pot that had manna, and aaron's rod that budded, and the tables of the covenant;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,913,942,594 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK