From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kiwango cha vifo vinavyokufa
dirth mortality rate
Last Update: 2024-07-25
Usage Frequency: 1
Quality:
jumla ya vifo 17 vilirekodiwa.
a total of 17 deaths have been recorded.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
kuna dawa zozote zinazopunguza vifo?
do any of the drugs reduce mortality?
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
bbc na afp viliripoti vifo 5 tu.
bbc and afp only reported 5 casualties so far.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tunavyo vifo vinavyosababishwa na watu wasio na mioyo.
we only have deaths that are caused by heartless humans.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hatua kadhaa hutumiwa kwa kawaida ili kupima kiwango cha vifo.
several measures are commonly used to quantify mortality.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
matukio ya moyo pia yalikuwa sababu kuu ya vifo kwa wagonjwa wa sars.
cardiac events were also the main reason for death in sars patients.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
ebola ilitabiriwa awali kusababisha hadi visa milioni moja na vifo vya watu nusu milioni.
ebola was originally predicted to cause up to a million cases with half a million deaths.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
athari ya maradhi haya na kiwango chake cha vifo ni tofauti kwa wanaume na wanawake.
the impact of the pandemic and its mortality rate are different for men and women.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
hesabu ya chini ya visa visivyo kali inaweza kusababisha kiwango cha vifo kukadiriwa kupita kiasi.
the under-counting of mild cases can cause the mortality rate to be overestimated.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
huko gaza, bado kuna matumaini pamoja na kuwepo kwa rubble, uharibifu, pamoja na vifo.
in gaza, there is hope amidst rubble, destruction, and loss.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
angalau vifo elfu 52 vilihusishwa na covid-19, ugonjwa unaosababishwa na virusi vya korona.
at least 52 thousand deaths were linked to covid-19, the disease caused by the coronavirus.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
bangladesh iliripoti vifo vipya vya watu watano kutokana na covid-19, visa vya juu zaidi kuripotiwa kila siku
bangladesh reports five new deaths due to covid-19, a daily highest
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
(unicef) inalaani vurugu ambayo ilisababisha maafa haya na vifo vya kipumbavu na majeraha kwa watoto.
(the unicef) condemns the violence that resulted in these tragic and senseless deaths and injuries to children.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
idadi ya vifo inakadiriwa kuwa asilimia 1-3 ya watu walioambukizwa, wengi wao wakiwa wazee walio na matatizo mengine ya kiafya.
case fatality rate is estimated at 1-3% of infected individuals, most of whom are elderly with underlying health conditions.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
covid-19 inaathiri zaidi watu wazee kuliko vijana na wanaume zaidi kuliko wanawake na uzito wake na viwango vya vifo viko juu miongoni mwa watu wazee kuliko vijana.
covid-19 affects more elderly individuals than youth and more men than women, and the severity and death rate are also higher in elderly individual than in youth.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
"awali ya yote, ak-47 ndiyo silaha iliyosababisha idadi kubwa zaidi ya vifo kuliko silaha nyingine yoyote duniani.
"first of all, the ak-47 has caused the most deaths by any weapon on the planet.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting