Results for vifungu visivyokubalika translation from Swahili to English

Swahili

Translate

vifungu visivyokubalika

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

vifungu vya sheria vya katiba vipo wazi kabisa kuhusiana na suala la kuahirishwa kwa chaguzi.

English

adaure achumba, the west africa correspondent for arisetv, disagrees:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

serikali zenye vifungu vya demokrasia haziwezi kumudu kuwa na ujanja wa kuratibu vinavyokuwepo kwenye mtandao kwa muda mrefu.

English

governments with democratic trappings cannot afford to censor the online media for an extended period.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

bado haijafahamika sawasawa ni kiasi gani mafanikio ya chama cha united russia yametokana na wizi wa kura na tuhuma za vitendo visivyokubalika.

English

it remains unclear how much of united russia’s success is due to fraud and other illegal actions.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baada ya kuzuiwa kwa takribani siku nzima, polisi waliwahukumu kwa kutumia vifungu tofauti tofauti vya sheria ya marekebisho ya makosa ya jinai.

English

after a daylong detention, the police charged them under different sections of criminal law amendment act.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

1. @nigeria_law vifungu vya sheria vya katiba vipo wazi kabisa kuhusiana na suala la kuahirishwa kwa chaguzi.

English

1. @nigeria_law the provision of the constitution is very clear on the postponement of the elections.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa mfano, waandishi wa habari wa kujitegemea wanaendelea kuwa katika hali ya hatari ya kukumbwa na vifungu mbalimbali vya sheria kama wataweka bayana hali ya sintofahamu katika uongozi au kuwakosoa viongozi wa ngazi za juu serikalini.

English

for example, independent reporters continue to face a high risk of being slapped with various lawsuits if they expose controversies in the bureaucracy or criticize high ranking government officials.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jarida la the new england linaripoti kuwa ukosefu wa kuosha mikono unasalia katika viwango visivyokubalika katika mazingira mengi ya kimatibabu, huku idadi kubwa ya madaktari na wauguzi wakisahau kila mara kuosha mikono yao kabla ya kuwagusa wagonjwa na hivyo kusambaza viini.

English

the new england journal of medicine reports that a lack of hand-washing remains at unacceptable levels in most medical environments, with large numbers of doctors and nurses routinely forgetting to wash their hands before touching patients, thus transmitting microorganisms.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

uchaguzi ulipangwa kufanyika machi 28 ni ukiukwaji wa wazi kabisa wa vifungu vya sheria vilivyomo kwenye katiba ya nigeria. @nigeria_law #nigeriadecides — alexander osondu (@movinglaw) february 11, 2015

English

the election slated for march 28 is in flagrant breach of the provisions of the constitution of nigeria. @nigeria_law #nigeriadecides — alexander osondu (@movinglaw) february 11, 2015

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
8,895,373,822 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK