Results for vijiji translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

vituo vya habari vya vijiji na redio ni njia bora zaidi.

English

rural information centres, traditional communication models and the radio are much better channels.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

familia na vijiji imekumbwa na hasara ya vizazi karibu yote ya watu.

English

families and villages are being devastated by the loss of nearly entire generations of men.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kujaza dodoso la sensa ya watu na makazi 2022 katika kambi ya wakimbizi nduta na vijiji vingine

English

population and housing census

Last Update: 2024-12-27
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

afadhali uwaage watu waende mashambani na katika vijiji vya jirani, wanunue chakula."

English

send them away, that they may go into the country round about, and into the villages, and buy themselves bread: for they have nothing to eat.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hawatapigana nanyi kwa mkusanyiko isipo kuwa katika vijiji vilivyo zatitiwa kwa ngome, au nyuma ya kuta.

English

they fight not against you even together, except in fortified townships, or from behind walls.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mikoa ya leyte na samar ni miongoni mwa maeneo mengi iliyoathirika vibaya na vijiji vingi kuharibika na kubaki nyika.

English

the provinces of leyte and samar are among the most badly-hit areas with many villages reduced into wasteland.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tulienda kwa kutumia njia zisizo rasmi na kupitia jangwani huku tukilazimika kusimama mara kwa mara katika vijiji vidogo kununua mikate na kutengeneza matairi ya gari.

English

we went on off-road tracks and through the desert stopping occasionally in small villages to buy bread or repair the tyres.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hawatapigana nanyi kwa mkusanyiko isipo kuwa katika vijiji vilivyo zatitiwa kwa ngome, au nyuma ya kuta. wao kwa wao vita vyao ni vikali.

English

they will not fight against you all together except in fortified cities, or from behind walls.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati akipiga picha za dokumentari nchini cambodia, mtayarishaji wa filamu roberto serrini alipata wasaa wa kutembelea vijiji kadhaa vya mjini na vijijini katika nchi hiyo.

English

while shooting a documentary in cambodia, filmmaker roberto serrini found time to visit several urban and rural villages in the country.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"vipi kuhusu misaada kwa sehemu zilizoathirika hasa vijiji masikini kama vile serian, padawan, bau na sehemu kama vile sibu pamoja na miri?

English

“how about the flood relief to those affected area especially those poor villages like serian, padawan, bau and some in sibu and miri?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

abduallhi jamaa anachanganua hoja mbalimbali kuhusu mswada huu wa katiba unaoonekana mtandaoni, katika redio zinazotangaza kwa lugha za ki-somali na katika mikutano vijiji na hata migahawani:

English

abduallhi jamaa analyses various arguments about the draft constitution appearing online, vernacular radios and in village meetings and cafes:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mojawapo ya nchi zilizoandikwa katika taarifa hiyo ni ethiopia ambapo wanavijiji katika jimbo la gambella wanalazimishwa kuhamia kwenye vijiji vilivyoandaliwa na serikali ili kuwapisha "wawekezaji” kutwaa ardhi yao.

English

one of the countries covered in the report is ethiopia where villagers in gambella province are forced to settle in state-designated villages to pave the way for land grabbers.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

inataarifiwa kuwa watu 500,000 wameshindwa kutoka katika vijiji wanavyoishi huku wakikosa huduma ya umeme, nishati ya gesi pamoja na maji hali iliyotokana na kutanda kwa theluji mwisho wa wiki hii kaskazini mwa nchi ya iran katika majimbo ya, gilan na mazandaran.

English

500,000 people are reportedly trapped in villages without electricity, gas or water after a massive snow storm this weekend in iran's northern provinces, gilan and mazandaran.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mpango wa serikali wa “kuunda vijiji vipya” unawaondoa kwa nguvu wenyeji wasiopungua 200,000 kutoka kwenye ardhi yao ya asili katika maeneo ya gambella na kuwahamishia kwenye vijiji vilivyojengwa na serikali.

English

the government’s program of “villagization” is forcibly removing at least 200,000 indigenous people from their ancestral lands in the gambella region and relocating them in new state-built villages.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

 ushirikiano sio mkubwa sana  mawasiliano ni muhimu sana  80% ya viongozi walionesha ushirikiano  hakuna wawekezaji huko dodoma  ardhi haiwatoshi hawahitaji uwekezaji  imani ya wananchi kwa viongozi wao ni ndogo ndio maana hawahudhurii vikao  vijiji vingi kuna irregurity kwenye kuconvene meetings, village assembly  mipaka ya kijiji haifahamiki ni kwa sababu havijawahi kupimwa.  viongozi wa baraza la ardhi hawajapewa mafunzo juu ya usuluhishi.  vyanzo vya migogoro ni mipaka kijiji na kijiji, shamba na shamba, wakulima na wafugaji???  kongogo ina vitongoji 13 na umbali kutoka vitongoji yafikia umbali wa km 30.

English

alcoholism

Last Update: 2014-08-19
Usage Frequency: 2
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
8,897,236,536 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK