Results for vimbunga translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

timu za misaada bado zinaendelea kutathmini uharibifu uliosababishwa na vimbunga viwili, na takwimu zinategemewa kuongezeka wakati ripoti ya uharibifu uliotokea ikikusanywa.

English

relief teams are still assessing the damage caused by the two storms, and figures are expected to rise as more information on the full extent of the damage is gathered.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wataalamu kuhusu nchi ya haiti na watetezi wa masuala ya uhamiaji kwa muda mrefu sasa wamekuwa wakihimiza kwamba ruhusu itolewe ili raia wa haiti wapate hadhi ya tps hasa kwa kuzingatia majanga ya vimbunga na dhoruba nyingine ambazo zimekuwa zikiipiga nchi hiyo katika muongo uliopita.

English

haitian expats and immigration advocates have long clamored for tps for haitians, especially in light of numerous hurricanes and major storms over the past decade.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,884,609,222 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK