Results for vina translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

vina

English

rhyme

Last Update: 2013-11-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

virusi vya korona vina genomu chanya ya nyuzi moja ya rna

English

coronaviruses contain a positive-sense, single-stranded rna genome.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kiwango cha ushiriki wao kinaongezeka na vyama vingine mashuhuri vina viongozi wanawake.

English

level of their participation is increasing and a some prominent parties have women as leaders.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kimuundo, virusi vya cov vina jenomu ambazo hazina vijisehemu vilivyo na mpangilio sawa.

English

structurally, covs have non-segmented genomes that share a similar organization.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

virusi vyote saba vya hcov vina asili ya kutoka kwa popo, panya au wanyama wa nyumbani.

English

all seven hcovs have a zoonotic origin from bats, mice or domestic animals.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hivi vyote vina uwezo wa kubadili akili inayokua ya vijana, na kuwafikisha kwenye kuchanganyikiwa juu ya lipi ni sahihi na lipi si sahihi.

English

all of these have the capacity to change the moral perception of the youth’s developing minds, bringing them to confusion on what is right or wrong.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hususan, virusi vya beta-cov vinavyopatikana kwa kakakuona vina uwezo mkubwa wa kusababisha magonjwa ndani ya kakakuona.

English

particularly, pangolin beta-covs are highly pathogenic in pangolins.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

isipokuwa wale walio fungamana na watu ambao mna ahadi baina yenu na wao, au wanakujieni na vifua vyao vina dhiki kupigana nanyi, au kupigana na watu wao.

English

but make an exception of those who seek refuge with people with whom you have a treaty, or who come over to you because their hearts forbid them to fight against you or against their own people.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

"msaada wa haraka uliendelea vizuri lakini serikali ingeweza kufanya vizuri zaidi kama wangeweka alama za maeneo yaliyofurika kwa kutumia minara ya mianzi au njia nyingine zenye vibao vinavyoeleza wazi vina vya maji.

English

“immediate relief was going on quite well but the government could have done better if they had marked all the flood sections of the roads with bamboo poles or other alternatives with clear signs to show how deep the flood level is.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

"bila ya kuwa na vielelezo sahihi ya vina vya mafuriko katika sehemu zinazoathirika mara kwa mara vitakavyosaidia mipango ya baadaye na pia utekelezaji wa miradi, tutaendelea kuwa na matatatizo yasiyo ya lazima yanayotokana na utekelezaji dhaifu wa vyombo husika.

English

“thus unless we have proper records of flood levels in flood prone areas to guide future planning and implementation of projects, we will have more unnecessary problems due to poor implementations by the respective agencies involved in future.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,777,987,884 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK