Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
inaonekana kuwa vyombo vya habari vinachochea shauku hii na mamilioni ya watu katika nchi hizo mbili wanaendelea kuzama ndani ya mambo yote haya.
it seems the media is feeding the mania and millions of people in both the country remain engrossed with all these.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
vyombo rasmi vya habari nchini urusi na ukraine vinachochea misuguano, wakati waandishi na wanaharakati wa mtandaoni wanatumia mtandao wa intaneti kupambana dhidi ya upotoshaji wa taarifa na propaganda.
official media in both russia and ukraine is fueling disagreements, while journalists and digital activists are making use of the web to fight back against misinformation and propaganda.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: