From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
vinginevyo
otherwise
Last Update: 2018-03-30
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
vinginevyo, kaa kimya.
else, shut up”.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
lakini kwa mara nyingine mubarak inabidi anionyeshe vinginevyo.
but again mubarak has to prove me wrong.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
na npp lazima iwe imara kujilaani wao wenyewe vinginevyo hawatachukuliwa kama watu makini.
the npp must be bold to condemn their own else they will never be taken seriously.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
jua limekuchwa na hoteli, shule, mikahawa, na vinginevyo vinafungua milango yao.
the sun has gone down and hotels, schools, restaurants, and more are opening up their doors.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
katika twita, @nfornaser anasema kuwa polisi walimtaka aliangushe bango hili vinginevyo wangempiga.
on twitter, @nfornaser says the police asked him to drop this sign or else they would beat him up.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
chama cha umma kilikataa wakidai kuwa walipaswa kuziwasilisha hati hizo kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita na si vinginevyo.
the pp refused, claiming that they were only obligated turn in documents from the last five years.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
barua, maandamano, maswali kwa viongozi wa uganda, wa kidini na vinginevyo wanosafiri nje ya nchi hii.
a letter, a protest match, questions to leaders of uganda, religious and otherwise traveling outside the country.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
- usafiri wa umma hapa si mzuri sana, lakini kumiliki gari pia ni ghali mno, vinginevyo ningekuwa nimeshajipatia moja
- public transport here is not very good, but getting a car is very expensive. i would’ve got one
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
vinginevyo, tutajikuta tukikabiliana na hali ambayo malenga wetu wataishia kupoteza hadhi na kuingia katika hali ya uduni na kukosa maana.
otherwise we may well be faced with a situation where our literary griots end up being relegated to a state of obscurity and irrelevance.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ninamwomba rais kuwa na hadhi ya ki-rais katika suala hili. tumekusudia kupata katiba mpya, iwe akiwepo yeye au vinginevyo.
i appeal to the president to be presidential about this matter. we are determined to have a new constitution, with or without him anyway.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
maoni ya jumla kutoka jamii za duniani yanaonekana kuonyesha huzuni kwa usumbufu lakini faraja kwa uwazi na uwezo wa kulenga jamii zao wenyewe, wikimedia na vinginevyo.
the general sentiment from around the global community seems to be both sadness at the disruption but relief at the clarity and ability to focus on their own communities, wikimedia and otherwise.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
siddhartha mitter alibaini kwamba "uwekezaji katika miundo mbinu ni jambo linalopaswa kuwa jema isipokuwa ikithibitika vinginevyo - hasa afrika":
siddhartha mitter noted that "all infrastructure investment should be considered a good thing unless proven otherwise—especially in africa":
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kufuatia nia ya kugombea urais kwa kipindi cha tatu ya rais wa burundi aliye madarakani nkurunziza, jenerali godefroid niyombare alitangaza kwamba utawala uliopo umeangushwa rasmi na kwamba anatwaa madaraka mpaka itakapotangazwa vinginevyo.
following incumbent burundi president nkurunziza's candidacy for a third term, general godefroid niyombare announced that he has dismissed the current administration and that he is taking over until further notice.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa mujibu wa makala, serikali za marekani na uingereza zina hifadhi ya madawa ya tamifluiflu yenye thamani ya mabilioni ya dola ambazo lazima wazitumie ndani ya miezi michache ijayo, vinginevyo yatapita muda wake.
according to the article, the us and uk governments have billions of dollars worth of tamifluiflu stock that they must use within the next few months, or they’ll expire.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wakati hatuwezi kusema kuwa tumebadilisha kabisa uanahabari wa ulimwengu, tunaamini kuwa tumeweza kuyaelekeza macho ya vyombo vya habari kwenye habari nyingi ambazo vinginevyo zisingeweza kuripotiwa, na kutoa mitazamo mipya juu ya hamari nyingi za kimataifa.
while we can't say we've completely transformed global media, we do believe that we've brought global media attention to a range of stories that might otherwise not have been reported, and provided fresh perspectives on numerous other major international news stories.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
lengo kuu mojawapo la mkutano huo ni kuwaleta watu ambao vinginevyo wasingekutana, ili kukuza uelewa mpya na kujenga mitandao inayoleta ushirikiano “ili kukuza matokeo ya kijamii yanayoletwa na watu hawa.”
one of the summit’s main goals is to bring together people who otherwise might never cross paths, to promote new perspectives and build connections that lead to collaborations “for scaling up the social impact of what these people do.”
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa maana huyo mume asiyeamini hupokelewa kwa mungu kwa kuungana na mkewe; na huyo mke asiyeamini hupokelewa kwa mungu kwa kuungana na mumewe. vinginevyo watoto wao wangekuwa si wa mungu; kumbe sasa ni watoto wake mungu.
for the unbelieving husband is sanctified by the wife, and the unbelieving wife is sanctified by the husband: else were your children unclean; but now are they holy.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
aidha kuna hitaji la kuwalinda watoto wetu na vijana wanaofanywa kuwa wepesi kudhurika na ukatili wa kingono na kuharibiwa maadili yao kama matokeo ya mabadiliko ya kiutamaduni, teknolojia holela ya habari, ukuaji wa watoto bila wazazi na kuongezeka kwa majaribio ya mashoga kulea watoto katika mahusiano ya jinsia moja kwa njia ya kuasili, malezi ya kambo, ama vinginevyo.
there is also need to protect our children and youths who are made vulnerable to sexual abuse and deviation as a result of cultural changes, uncensored information technologies, parentless child developmental settings and increasing attempts by homosexuals to raise children in homosexual relationships through adoption, foster care, or otherwise.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: