Results for vionjo translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

vionjo

English

altered

Last Update: 2016-04-28
Usage Frequency: 2
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ghana: vionjo sehemu ya kwanza

English

ghana: ghana highlights part i · global voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

blogu hii ina vionjo vya mirindimo vya ziara hii kama video inayomwonyesha mwanamuziki wa kikameruni akimshabikia barack obama kwenye uchaguzi imewekwa pale.

English

this blog also gives a rythmic flavour to this visit as the video of a cameroonian musician hailing barack obama on his election is posted there.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

sehemu ya kwanza ya vionjo vya ghana iliyotayarishwa na gayle: nchini ghana, kila kanda ina kitu cha kutoa.

English

gayle's first part of ghana highlights: in ghana, every region has something to offer.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

arrow alileta vionjo vya aina yake kwa kaiso (jina jingine la calypso), vilikuwa ni vionjo vya kisiwa cha montserrat.

English

arrow brought a distinct flavor to kaiso, it was the flavor of montserrat.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nchini cuba, muziki maarufu wenye vionjo vya ngono huchujwa na kuzuiwa, na nchini trinadad, maadhimisho ya dini ya kiislam ya shia yamegeuka kuwa sherehe.

English

in cuba, very popular but sexually explicit music gets censored, and in trinidad, a religious shia muslim commemoration has in turn become a festival.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kituo cha hifadhi ya wanyama, bila shaka, ni moja ya maeneo machache unayoweza kuyatembelea na kujionea jinsi watu wanavyobadilika kulingana na vionjo na matakwa ya tembo na siyo tembo kubadilika kulingana na namna watu wanavyoishi. linapokuja suala la kuchagua niende kwenye sehemu ipi ya utalii wa tembo, huwa ninakuwa na machaguo mengi kwani karibu maeneo yote ulimwenguni huwa na tabia ya kutokuwajali kabisa tembo, ikiwa ni sawa tu na kuhama kutoka kushuhudia maisha mbaya kabisa ya tembo (= kusafirisha magogo) kwenda kushuhudia maisha mengine ya tembo(= kutokutunzwa vizuri kunakotokana na shughuli za kitalii).

English

the elephant conservation center is probably one of the few places you can visit where it’s not about elephants adapting to people’s schedules and needs but where people adapt to the rhythm and needs of the elephants i am very picky when it comes to choosing an elephant “place” as there are far too many all over the world which treat their elephants badly and which just means moving from one horrible life (=logging) to another (= bad treatment for tourism purposes).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,783,786,578 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK