Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kwa mfano, mwisho wa februari daktari mwitaliano akiwa kwenye likizo kule costa adeje (visiwa vya canary) alipatikana kuwa na covid-19, na kama matokeo yake wageni wote katika hoteli aliyoishi walisalia karantini.
for example, in late february an italian doctor on vacation in costa adeje (canary islands) was diagnosed with covid-19, and as a result all the guests in the hotel he stayed at were quarantined.
katika visiwa vya canary, kwa mujibu wa blogu ya prisiones y penas, ambayo huandika kuhusu habari zinazohusu jela na magereza, wanawake wanaruhusiwa kuishi na watoto wao hadi umri wa miaka mitatu ndani ya selo zao, lakini wakiwa pamoja na wafungwa wenzao, kitu ambacho sio mazingira mazuri sana kwako.
in the canary islands, according to the prisiones y penas blog, which writes about the issues surrounding jails and prisons, women are allowed to keep their children of up to 3 years of age with them in their cells, but in the company of other inmates, which isn't the best environment.
bloga living in barbados alimpachika jina mkimbiaji #1 duniani kama "silaha ya maangamizi", wakati bloga wa visiwa vya cayman mad bull alimuita "radi iliyopakwa mafuta", na akaongeza:
living in barbados referred to the world #1 as "a weapon of mass destruction", while cayman islands blogger mad bull called him "greased lightning", adding: