Results for vitabu vyote agano la kale translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

vitabu vyote agano la kale

English

all the books of the old testament

Last Update: 2022-08-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

vitabu vyote vya biblia

English

all the books of the bible

Last Update: 2020-04-17
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nanyi mnaviamini vitabu vyote.

English

you believe in the entire book.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

agano la zamani

English

old testament

Last Update: 2021-08-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hivyo basi nyinyi ndio mnawapenda watu hao, wala wao hawakupendeni. nanyi mnaviamini vitabu vyote.

English

ah! ye are those who love them, but they love you not,- though ye believe in the whole of the book.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ndiyo maana hata lile agano la kwanza halikuwekwa bila damu kumwagwa.

English

whereupon neither the first testament was dedicated without blood.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

je, hawakufanyiwa agano la kitabu kuwa wasiseme juu ya mwenyezi mungu ila haki tu?

English

did they not make a covenant to uphold the scripture, and to not say about god except the truth?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

maana kama lile agano la kwanza halingalikuwa na dosari, hakungalikuwa na haja ya agano la pili.

English

for if that first covenant had been faultless, then should no place have been sought for the second.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

agano la kwanza lilikuwa na taratibu zake za ibada na pia mahali patakatifu pa ibada palipojengwa na watu.

English

then verily the first covenant had also ordinances of divine service, and a worldly sanctuary.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

akawaambia, "hii ni damu yangu inayothibitisha agano la mungu, damu inayomwagwa kwa ajili ya watu wengi.

English

and he said unto them, this is my blood of the new testament, which is shed for many.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

je, hawakufanyiwa agano la kitabu kuwa wasiseme juu ya mwenyezi mungu ila haki tu? nao wamekwisha soma yaliomo humo.

English

did they not make a covenant (with god) in the book not to speak any thing other than the truth about god and to study its contents well?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

na ikiwajia tena anasa kama hiyo wataishika pia. je, hawakufanyiwa agano la kitabu kuwa wasiseme juu ya mwenyezi mungu ila haki tu?

English

and indeed the abode of the hereafter is better for the pious; so do you not have sense?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa hiyo, kristo ndiye aliyeratibisha agano jipya ili wale walioitwa na mungu wazipokee baraka za milele walizoahidiwa. watazipata, kwani kifo kimetokea ambacho huwakomboa watu kutoka yale makosa waliyofanya wakati wa lile agano la kale.

English

and for this cause he is the mediator of the new testament, that by means of death, for the redemption of the transgressions that were under the first testament, they which are called might receive the promise of eternal inheritance.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

maana yeye ndiye aliyetuwezesha kulihudumia agano jipya ambalo si agano la sheria iliyoandikwa, bali agano la roho. maana sheria iliyoandikwa huleta kifo, lakini roho huleta uzima.

English

who also hath made us able ministers of the new testament; not of the letter, but of the spirit: for the letter killeth, but the spirit giveth life.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wakati ule ninyi mlikuwa bila kristo; mlikuwa nje ya jamii ya israeli; mlikuwa wageni na hamkuwa na sehemu yoyote katika lile agano la zile ahadi. mlikuwa bila matumaini mungu hapa duniani.

English

that at that time ye were without christ, being aliens from the commonwealth of israel, and strangers from the covenants of promise, having no hope, and without god in the world:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kuna maeneo mbalimbali ya kuyaona jijini jeddah, ninapendekeza balad, jiji la kale la jeddah, likiwa na majengo yaliyosanifiwa kizamani, jengo la naseef ni mfano mmojawapo wa majengo ya kale.

English

there are a variety of places to see in jeddah, i would suggest the balad, the old city of jeddah, with its historical architecture and old houses, naseef house is a good example of one.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

"umoja wa ulaya katika mgogoro (eu in crisis)" ni chapisho letu la kwanza katika mradi wa vitabu wa global voices na ambao unahusisha makala bora zaidi kuhusu mazungumzo ya kijamii, ushiriki na uhamasishaji unaopewa nguvu na raia wanaopitia nyakati ngumu za kubana matumizi katika bara la kale zaidi na kwingineko.

English

"eu in crisis" is the first production of our new global voices books project and includes the best material from social conversation, participation and mobilization boosted by citizens going through the tough times of austerity in the old continent and beyond.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

maswali ya mkutano wa wavuti wa mkoa wa amerika je! usrc inafanyaje kazi na itifaki na sheria ya agano la krismasi? agano la krismasi | ct inathibitisha kwamba agano la krismasi linaonyesha kwa usahihi sheria ya ct ambayo inapendekeza kuunda mkutano wa mkoa wa merika. pia hufanya muundo wa mkutano wa mkoa uwe sawa ulimwenguni. kama sheria ya ct usrc, sheria ya agano la krismasi inaunda mchakato wa hatua mbili huko us unaanza na kamati ya muda ya mkoa wa amerika ambayo

English

us regional conference webinar faq how does the usrc work with the protocol and christmas covenant legislation? christmas covenant | the ct affirms that the christmas covenant accurately reflects the ct legislation which proposes creating a u.s. regional conference. it also makes the regional conference structure consistent worldwide. like the ct usrc legislation, the christmas covenant legislation creates a two stage process in the u.s. it starts with an interim u.s. regional committee that

Last Update: 2020-06-12
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,792,327,204 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK