From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
ni vipi mabloga wa ki-irani walivyoichukulia rz?
how have iranian bloggers reacted to rz?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
sielewi ni vipi kuna watu wengi ambao hawawezi kuwa kwenye ndoa hata kwa dakika moja zaidi, je nini kitakachotokea kwa watoto wao ikiwa pendekezo hili litafanya kazi.
i do understand that there are many people who couldn’t stand being married a minute longer, but what would happen to the children if this proposal takes effect.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mabloga nchini humo wanatofautiana mitazamo, wakati mmoja anausifu uamuzi huo, mwingine anajiuliza ni vipi rais lugo atajilipia gharama binafsi za maisha.
different local bloggers see things differently, as one applauds the decision and another wonders how lugo will pay for his own expenses.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
yaani, ni vipi vyombo vya habari vimefanikiwa kuwasilisha shauri hili kama shauri moja la mtu mwenye njaa aliyezingirwa, anayetafuta misaada ya kibinaadamu na chakula kisichomfaa hata mbwa?!
i mean, how have the media succeeded in presenting the case of gaza as one of a hungry person under siege, searching for food and "humanitarian" aid not worthy of dogs?!
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ama kweli, hili ni jambo jipya na ninajiuliza ni vipi hapa duniani jais itaweza kuzuia jambo kutokea?!.. je watawasaka hawa wanafunzi “wasio na nguo za ndani” kwa kuchungulia chini ya kila sketi?!!
gosh, this is something really new and i wonder how on earth is jais going to prevent that from happening?!..are they going to hunt these “panty-less” students by peeping under each and every skirt?!!
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.