From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
walipita vituo viwili bila kubahatika.
two stations, no luck.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
na kwa viwili viwili na kimoja kimoja,
and the even and the odd,
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 4
Quality:
vyote viwili vikasema: tumekuja nasi ni wat'iifu.
they said, "we come willingly."
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 4
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
na pazia lililokuwa limetundikwa hekaluni likapasuka vipande viwili.
and the sun was darkened, and the veil of the temple was rent in the midst.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
rwanda hivi sasa inao ukomo wa vipindi viwili vya kikatiba kwa urais.
rwanda currently has a constitutional two term limits for the presidency.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
basi, pazia la hekalu likapasuka vipande viwili toka juu mpaka chini.
and the veil of the temple was rent in twain from the top to the bottom.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
kisiwa hicho pia kinafahamika kwa mchanga wa pekee unaounganisha visiwa hivyo viwili.
it is also known for the spectacular sandbank that bridges the two nearby islands.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
duka la costco kule canberra pia liliweka vikomo kiwango kinachoruhusiwa kuwa vifurushi viwili wiki jana.
costco's store in canberra also limited the allowed amount to two packs last week.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
na hivyo vitalu viwili vikitoa mazao yake, wala hapana kitu katika hayo kilicho tindikia.
both gardens produced their harvest in full, and suffered no loss.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
wakala wote, wakashiba; wakakusanya makombo ya chakula, wakajaza vikapu kumi na viwili.
and they did eat, and were all filled: and there was taken up of fragments that remained to them twelve baskets.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
basi, wakakusanya vipande vya mikate ya shayiri walivyobakiza wale watu waliokula, wakajaza vikapu kumi na viwili.
therefore they gathered them together, and filled twelve baskets with the fragments of the five barley loaves, which remained over and above unto them that had eaten.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
mabomu ya kujitengenezea hayakutumiwa kwa kuwa hawakupata muda wa kununua mafuta kutoka kwenye vituo vya mfuta viwili vilivyo kandokando ya barabara hiyo.
the domestic bombs that they had weren't used because they didn't have time to load them with gas from the 2 gas stations on of each side of the highway.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
timu za misaada bado zinaendelea kutathmini uharibifu uliosababishwa na vimbunga viwili, na takwimu zinategemewa kuongezeka wakati ripoti ya uharibifu uliotokea ikikusanywa.
relief teams are still assessing the damage caused by the two storms, and figures are expected to rise as more information on the full extent of the damage is gathered.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ukichambua hali ya mambo ilivyo, ni dhahiri kwamba sura ya nchi hiyo kukatwa katika vipande viwili iko dhahiri sana kuliko ilivyowahi kuwa kabla ya uchaguzi huu.
in a detailed reading, the image of a country cut in two is even sharper than before.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
nilifanya hivyo katika vijiji viwili vinavyokaliwa na wavuvi katika eneo la banc d'arguin lakini pia oualata, goungel na ouadane.
i did that in two fishing villages in the banc d'arguin but also in oualata, goungel and ouadane.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kabla ya 2003, virusi viwili vya covs (hcovs) vya binadamu vilijulikana kusababisha ugonjwa usio kali, kama vile homa ya kawaida.
before 2003, two human covs (hcovs) were known to cause mild illness, such as common cold.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
kulingana na dkt. meerjady, visa viwili vilikuwa vya watu wenye umri wa zaidi ya miaka 60, wawili kati ya miaka 51 na 60 na mmoja miaka 41-50.
according to dr meerjady, two cases were aged above 60, two between 51 and 60, and one 41-50 years old.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
wakati ule nilipoimega ile mikate mitano na kuwapa watu elfu tano? mlikusanya vikapu vingapi vya mabaki ya makombo?" wakamjibu, "kumi na viwili."
when i brake the five loaves among five thousand, how many baskets full of fragments took ye up? they say unto him, twelve.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kisha akazielekea mbingu, na zilikuwa moshi, akaziambia hizo na ardhi: njooni, kwa khiari au kwa nguvu! vyote viwili vikasema: tumekuja nasi ni wat'iifu.
he established his dominance over the sky, which (for that time) was like smoke. then he told the heavens and the earth, "take your shape either willingly or by force" they said, "we willingly obey".
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting